Waisrael ni viumbe wa kipekee sana Duniani

Ukiachana na vyakwao wazayuni, Cnn, BBC, NBC na vingi tu takriban vyote vya magharibi ispokua RT ya u
Urusi ilikua kidogo inabalance na TV za Ireland ndio zinasupport Palestina kwa sababu Ireland ndio nchi pekee Ulaya inayoisupport Palestina
Aaah wapi umekariri Aljazeera,CNN,BBC,MSNBC,NBC,liberal medias zote zilikuwa zina sympathise na Palestinians.
Ukitaka kujua ninachokwambia ingia youtube search habari zao kipindi cha vita utaona mwenyewe.
tatizo mnakariri sana badala ya kufuatilia the actual facts .Meadia zote hizo huwa zinarusha habri zinazouza zaidi,waki sympathize na Israel wanajua hawawezi uza.
Ingia youtube utaona.
 
Mengi uliyoeleza ni ya kweli,ila hapo penye, ndege kubwa ya abiria inakwepa mabomu,hapo ndio shida ilipo.
Pamoja na kwamba sina uhakika na alichokisema huyu jamaa but pia tusimbeze kuhusu hili la ndege za kiraia na makombora; sijui kama mnakumbuka, mwaka 2007/8 kuna watalii wa Kiyahudi walikuja Kenya na wakafikia Paradase hotel pale Mombasa, kuna habari kwamba magaini wale wa Somalia walikwenda kuwapiga mabomu pale hotelini, intelijensia yao (nadhani ni Mosaid ) ikagundua hilo, ndege ikaja kuwachukua some hours before ya plan yao ya kwanza, walikuja na walitakiwa kuondoka na ndege ya nchini mwao. Magaidi waliitupia makombora kadhaa ndege ile na haikupata hitilafu yeyote hadi inakwenda kwao na ilitua salama; ninacho taka kusema ni kwamba, hi technology ya kuzikinga ndege za kiraia dhidi ya makombora ni kweli Israel wanayo, i think na USA as well, walianza kufanya hivyo hasa mara baada ya tukio la September 11, 2001 kule USA; tukubali, wenzetu hawa (wazungu na jamiii zao ) wapo mbali kwa tecknolojia.
 
Na kwa taarifa tu ya wasomaji ni kwamba wanaofanya kazi katika viwanda vingi vya nuclear war weapons / Viwanda vya ndege za kivita na za abilia / pale NASA ni hawa jamaa... Unamkuta mtu ni Mwanajeshi, Engineer wa ndege, Ujenzi, Atomic, Daktari, Mchumi, nk.

Mwislael mmoja kwa mfano ni swa na watanzania kama 300 hivi kiuwezo. Na ndiyo maana hutakaa hata siku moja usikie Marekani ama nchi za ulaya zinaishambulia Islael... sababu wanaounda hizo silaha ni wao!!

Ukitaka kuhakikisha usemi wangu - rudi soma tena zile dakika 60 za Waislael pale entebe Uganda kuwaokoa wale mateka wao July mwaka 1976, utaona uwezo wa hawa jamaa si wa kawaida.
 
Ni taifa teule tusomeni historia hata kwenye bible.Vita hii ni Mungu mwenye ataiamua na dalili ya mwisho wa dunia.wasomaji wanasema mtakapoona wanarudi makwao jueni mwisho unakaribia.
 
Ndege gani tena ya aibiria inakwepa bom ndugu hata jet fight kuna wakati zinalegwa
ni ndege za israel nyingi zina utaalam huo. kumbuka 2006 ndege ya EL Al ilikuwa inatoka mombasa kenya kwenda Tel Aviv ilishambuliwa na missile na magaidi pale mombasa lakini missile ile ilipita bila kugusa ndege ni rubani tuu aliyecheza game hilo. halafu tena mwaka 1972 magaidi wa the black september waliweka mabomu katika mizigo na ile mizigo iliwekwa katika chumba cha mizigo ndani ya ndege. mabomu hayakuweza kulipuka na kuleta madghara ila ulitoka moshi tuu na ndege ikatua ghafla uwanja wa heathrow airport. wale magaidi waloweka mabomu wote walikamatwa na kufungwa uingereza. kumbuka ndege za abilia za israel haziajili kiholela marubani na wahudumu mpaka wawe wamepitia air force miaka mitano.
 
Aaah wapi umekariri Aljazeera,CNN,BBC,MSNBC,NBC,liberal medias zote zilikuwa zina sympathise na Palestinians.
Ukitaka kujua ninachokwambia ingia youtube search habari zao kipindi cha vita utaona mwenyewe.
tatizo mnakariri sana badala ya kufuatilia the actual facts .Meadia zote hizo huwa zinarusha habri zinazouza zaidi,waki sympathize na Israel wanajua hawawezi uza.
Ingia youtube utaona.
mwaka 1967 mataifa ya kiarabu yalikuwa na majeshi milion mbili na siraha kali sana toka urusi za kuiteketeza israel yote. Israel ilikuwa na jeshi la watu arobaini elfu tuu na taifa lao changa likiwa na miaka 16. Israel iliyapiga mataifa yote ya kiarabu kwa muda wa siku sita na kuteka jangwa la sinai, ukingo wa magharibi wa mto jordan, milima ya golan na jiji lote la jerusalem kuwa lao .huo ulikuwa na muujiza wa karne ambao unaonesha kweli mungu yupo na Israelis ni taifa teule lake. UWEZO WAO WAISRAEL WA KUFIKIRI NI WA HALI YA JUU SANA SANA ndio maana kila vita hushinda kijanja kijanja sana dhidi ya maadui zake.
 
Nimesoma hisforia nzima leo, nikasema Islaeli si ya kuchezewa na hao waarabu!! Mtoto wa nyumba ndogo Ismail hana mamlaka ya kutawala nchi takatifu aliyopewa Ibrahim bali mwenye mamlaka ni Isaka mtoto wa ndoa.

Si mimi bali haya ni maagano.
 
Propaganda za uwongo
Wale jamaa wako very organized and smart, Wakati hii Vita na Hamas kuwa inaendelea waisrael wote walioko Duniani wakataka kurudi nyumbani kwao ili wasaidie nchi yao coz almost wote ni wanajeshi wa level ya juu, wasomi, matajiri e.t.c ndege nyingi zilicancel flight ya kwenda Tel Aviv sababu ya mabomu ya Hamas yalitanda anga.

Israel wakaamua kutuma ndege zao ziende kwenye kila sehemu walioko wa Israel na kuwapeleka nyumbani hivyo hivyo wakati anga limejaa mabomu. Wana ndege zao hizo kubwa za mizigo na abiria Zina uwezo wa kukwepa medium range rockets na kutua safely. Nyie Hawa watu siwaelewi mimi.

Haitoshi jamaa nchi yao ina Vita lakini Hawa jamaa wanagombania kurudi home wakaidefend na kuitetea Israel.

That's attitude and mentality sio ya Dunia hii.
wazayuni wanavyoogopa kifo
 
Na kwa taarifa tu ya wasomaji ni kwamba wanaofanya kazi katika viwanda vingi vya nuclear war weapons / Viwanda vya ndege za kivita na za abilia / pale NASA ni hawa jamaa... Unamkuta mtu ni Mwanajeshi, Engineer wa ndege, Ujenzi, Atomic, Daktari, Mchumi, nk.

Mwislael mmoja kwa mfano ni swa na watanzania kama 300 hivi kiuwezo. Na ndiyo maana hutakaa hata siku moja usikie Marekani ama nchi za ulaya zinaishambulia Islael... sababu wanaounda hizo silaha ni wao!!

Ukitaka kuhakikisha usemi wangu - rudi soma tena zile dakika 60 za Waislael pale entebe Uganda kuwaokoa wale mateka wao July mwaka 1976, utaona uwezo wa hawa jamaa si wa kawaida.
We nawe ni mtumwa tena yule uliekubuhu, inaonyeshea ata ukiambiwa uiname upakwemafuta ya upako na wayahudi hutokataa, acheni utumwa watu weusi ndio maana mnaitwa sokwe, eti muisraili mmoja sawa na watanzania 300 labda muisraili mmoja sawasawa na ukoo wenu wote, usituchanganye na watu waliolaaniwa kwa kuwauwa mitume
 
Na kwa taarifa tu ya wasomaji ni kwamba wanaofanya kazi katika viwanda vingi vya nuclear war weapons / Viwanda vya ndege za kivita na za abilia / pale NASA ni hawa jamaa... Unamkuta mtu ni Mwanajeshi, Engineer wa ndege, Ujenzi, Atomic, Daktari, Mchumi, nk.

Mwislael mmoja kwa mfano ni swa na watanzania kama 300 hivi kiuwezo. Na ndiyo maana hutakaa hata siku moja usikie Marekani ama nchi za ulaya zinaishambulia Islael... sababu wanaounda hizo silaha ni wao!!

Ukitaka kuhakikisha usemi wangu - rudi soma tena zile dakika 60 za Waislael pale entebe Uganda kuwaokoa wale mateka wao July mwaka 1976, utaona uwezo wa hawa jamaa si wa kawaida.
dakika 60?
 
mwaka 1967 mataifa ya kiarabu yalikuwa na majeshi milion mbili na siraha kali sana toka urusi za kuiteketeza israel yote. Israel ilikuwa na jeshi la watu arobaini elfu tuu na taifa lao changa likiwa na miaka 16. Israel iliyapiga mataifa yote ya kiarabu kwa muda wa siku sita na kuteka jangwa la sinai, ukingo wa magharibi wa mto jordan, milima ya golan na jiji lote la jerusalem kuwa lao .huo ulikuwa na muujiza wa karne ambao unaonesha kweli mungu yupo na Israelis ni taifa teule lake. UWEZO WAO WAISRAEL WA KUFIKIRI NI WA HALI YA JUU SANA SANA ndio maana kila vita hushinda kijanja kijanja sana dhidi ya maadui zake.
Ni kweli,,,
 
Na kwa taarifa tu ya wasomaji ni kwamba wanaofanya kazi katika viwanda vingi vya nuclear war weapons / Viwanda vya ndege za kivita na za abilia / pale NASA ni hawa jamaa... Unamkuta mtu ni Mwanajeshi, Engineer wa ndege, Ujenzi, Atomic, Daktari, Mchumi, nk.

Mwislael mmoja kwa mfano ni swa na watanzania kama 300 hivi kiuwezo. Na ndiyo maana hutakaa hata siku moja usikie Marekani ama nchi za ulaya zinaishambulia Islael... sababu wanaounda hizo silaha ni wao!!

Ukitaka kuhakikisha usemi wangu - rudi soma tena zile dakika 60 za Waislael pale entebe Uganda kuwaokoa wale mateka wao July mwaka 1976, utaona uwezo wa hawa jamaa si wa kawaida.
90 Minutes In Entebbe
 
Back
Top Bottom