Waisrael ni viumbe wa kipekee sana Duniani

LaRosa

JF-Expert Member
Jul 3, 2020
952
2,875
Wale jamaa wako very organized and smart, Wakati hii Vita na Hamas kuwa inaendelea waisrael wote walioko Duniani wakataka kurudi nyumbani kwao ili wasaidie nchi yao coz almost wote ni wanajeshi wa level ya juu, wasomi, matajiri e.t.c ndege nyingi zilicancel flight ya kwenda Tel Aviv sababu ya mabomu ya Hamas yalitanda anga.

Israel wakaamua kutuma ndege zao ziende kwenye kila sehemu walioko wa Israel na kuwapeleka nyumbani hivyo hivyo wakati anga limejaa mabomu. Wana ndege zao hizo kubwa za mizigo na abiria Zina uwezo wa kukwepa medium range rockets na kutua safely. Nyie Hawa watu siwaelewi mimi.

Haitoshi jamaa nchi yao ina Vita lakini Hawa jamaa wanagombania kurudi home wakaidefend na kuitetea Israel.

That's attitude and mentality sio ya Dunia hii.
 
Aiseee! Hongera sana, uko maeneo gani hapo tel aviv?

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Hata kama ndo mapenzi na hao wanaojiita wazayuni ila haya yamepitiliza, hii chai mchana kweupweeee!
 
Wale jamaa wako very organized and smart, Wakati hii Vita na Hamas kuwa inaendelea waisrael wote walioko Duniani wakataka kurudi nyumbani kwao ili wasaidie nchi yao coz almost wote ni wanajeshi wa level ya juu, wasomi, matajiri e.t.c ndege nyingi zilicancel flight ya kwenda Tel Aviv sababu ya mabomu ya Hamas yalitanda anga.

Israel wakaamua kutuma ndege zao ziende kwenye kila sehemu walioko wa Israel na kuwapeleka nyumbani hivyo hivyo wakati anga limejaa mabomu. Wana ndege zao hizo kubwa za mizigo na abiria Zina uwezo wa kukwepa medium range rockets na kutua safely. Nyie Hawa watu siwaelewi mimi.

Haitoshi jamaa nchi yao ina Vita lakini Hawa jamaa wanagombania kurudi home wakaidefend na kuitetea Israel.

That's attitude and mentality sio ya Dunia hii.
Hawana uzalendo kama kwetu wa kuanzishiwa masomo ya mizigo
 
Hawa viumbe wameuwa mitume yote mpaka Yesu wakamfukuza na kumpa kichapo ndio maana wanasumbuka sana na hawana taifa mpka leo kazi wanaiba maeneo ya watu, pia wanaongoza kwa kuwa na wasenge wengi duniani alaf mnawaita taifa teure?
 
Mnaamini propaganda za wazayuni? Wanachezeaga vichapo mno sema ni wazuri kutoa taarifa za kuonyesha superiority.
Nitajie vyombo vikubwa angalau vi 3 vilivyokuwa vina support Israel wakati wa vita zote na Hamas??.I mean vikubwa usinitajie blog.
 
Ukiachana na vyakwao wazayuni, Cnn, BBC, NBC na vingi tu takriban vyote vya magharibi ispokua RT ya u
Urusi ilikua kidogo inabalance na TV za Ireland ndio zinasupport Palestina kwa sababu Ireland ndio nchi pekee Ulaya inayoisupport Palestina
 
Back
Top Bottom