Waislamu waridhishwa kuhusu Kadhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislamu waridhishwa kuhusu Kadhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GY, Jul 30, 2010.

 1. GY

  GY JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Imeandikwa na Mwandishi Wetu;
  Tarehe: 29th July 2010

  BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita), limesema katika siku 14 lilizotoa kwa CCM na kufanya uchunguzi, limebaini kuwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na CCM wana dhamira njema ya kuanzisha Mahakama ya Kadhi nchini.

  Kutokana na kuwa na imani nao, imewataka Waislamu kuiunga mkono Serikali na CCM kwani ni chama pekee kilichoonesha dhamira ya dhati kwa kuliweka suala la Mahakama hiyo, kwenye Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2005.


  Vilevile limewataka Waislamu wakiwamo mashekhe, maimamu na wanaharakati, kuvuta subira katika mchakato wa kumtafuta mtu anayestahili kuwa Kadhi Mkuu.


  Akitoa jana Tamko la Baraza kwa waandishi wa habari baada ya kumalizika siku hizo 14, Mkurugenzi wa Baraza hilo, Ustaadhi Chifu Msopa, alisema katika kipindi hicho, walifanya uchunguzi wa kisayansi kujua ukweli halisi wa kuanzishwa Mahakama hiyo na kubaini kuwapo dhamira ya kweli.


  Alisema katika siku 14 zilizomalizikakuwauzia hoja ya Kadhi, lakini vyote isipokuwa Tanzania Labour Party (TLP) viliogopa.


  "TLP walikubali kupitia Mwenyekiti wake, Augustino Mrema, ingawa kwenye Ilani ya TLP hakuna suala la Kadhi," alisema na kuongeza: "Bahakita imeshindwa kuwafanya Waislamu kondoo wa kafara katika uchaguzi mkuu ujao, kwani tumeona tuipe muda Ofisi ya Waziri Mkuu iendelee na vikao vyake na Sekretarieti ya Mashekhe kwani tumepata ufafanuzi wa kina kwa pande zote mbili," alisema.


  Pamoja na kukubali huko, Baraza lilitoa mapendekezo kwa Mufti kuongeza uwakilishi wa kutosha katika uanzishwaji wa suala la Kadhi.


  Mazungumzo yanayoendelea kati ya Serikali na mashekhe yalitokana na Waziri Mkuu kukaa pamoja na mashekhe 25 na Mufti na kuunda Sekretarieti ya kutoa mapendekezo ya uanzishwaji wa Mahakama hiyo, na hadi sasa zaidi ya vikao vinane imefanyika kuangalia mfumo wa Mahakama hiyo utakavyokuwa.


  jana, Baraza lilifanya mazungumzo na vyama vikubwa vya upinzani nchini kwa lengo la kuwauzia hoja ya Kadhi, lakini vyote isipokuwa Tanzania LabourParty (TLP) viliogopa.


  "TLP walikubali kupitia Mwenyekiti wake, Augustino Mrema, ingawa kwenye Ilani ya TLP hakuna suala la Kadhi," alisema na kuongeza:"Bahakita imeshindwa kuwafanya Waislamu kondoo wa kafara katika uchaguzi mkuu ujao, kwani tumeona tuipe muda Ofisi ya Waziri Mkuu iendelee na vikao vyake na Sekretarieti ya Mashekhe kwani tumepata ufafanuzi wa kina kwa pande zote mbili," alisema.


  Pamoja na kukubali huko, Baraza lilitoa mapendekezo kwa Mufti kuongeza uwakilishi wa kutosha katika uanzishwaji wa suala la Kadhi.


  Mazungumzo yanayoendelea kati ya Serikali na mashekhe yalitokana na Waziri Mkuu kukaa pamoja na mashekhe 25 na Mufti na kuunda Sekretarieti ya kutoa mapendekezo ya uanzishwaji wa Mahakama hiyo, na hadi sasa zaidi ya vikao vinane vimefanyika kuangalia mfumo wa Mahakama hiyo utakavyokuwa.


  Source: Habari leo

  My take: Jamani hii ndo CCM bwana......
   
 2. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii habari ya gazeti la serikali inanuka harufu mbaya.
   
 3. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  I knew the outwitting trick will be used. ...Here is the story written by ibn Ishaq (died abour 151 AH) the author of the earliest biography on Muhammad "....the Abyssinians assembled and said to the Negus, 'you have left your religion' and they revolted against him... Then he (the Negus) toll paper and wrote , ' he testifies that there is no God but Allah ans that Muhammad is His slave and apostle; and he testifies that Jesus, son of Mary, is His slave, his apostles..' Then he put it in his gown near his right shoulder and went out to the Abyssinians... He said ' O people, have i not the best claim among you?' 'Certainly' they said. ' And what is your trouble?' 'You have forsaken our religion and assent that Jesus is a slave!' 'Then what do you say about Jesus?' ' We say that he is the Son of God.' The Negus put his hand over his gown (signifying) 'He testifies that Jesus the Son of Mary was no more than "this". By this he meant what he had written, but they were content and went away..(Sirah of ibn Ishaq #223)

  Non moslems should know certain things when dealing with Moslems.
  Mohammad allowed moslems to lie (outwitting) in the 3 instances ....' in battle, for bringing reconciliation amongst persons and the narration of the words of the husband to his wife. source Sahih Muslim p 1374, #6303

  The issuo of kadh courts have to do with advancement of ummah of Islam of which lying and killing is permissible for the this cause.
   
 4. T

  Taso JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Mkubwa, na wewe ulisoma shule yangu au that bunk was universal? Hivi bado wanaimba hivyo? "chuma bee" ni nini, mia mbili au shilingi mbili? Damn we used to improvise fun back in the day mwana wani, I tell you
   
 5. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  true
   
 6. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  Ijapokuwa mimi ni mwislam lkn kikwete Hawezi pata kura yangu kwani hata akiianzisha hiyo mahakama ya kadhi haina chochote hatika katika maisha ya kila siku kwani tutaendelea kusota tu na maisha yataendelea kuwa magumu. Ninahisi hapa tayari Bakwata washanunuliwa na habari hii kuna harufu mbaya ya watu kununuliwa. Hivi nikisema kuwa Bakwata ni kibaraka wa serikali ya CCM nitakuwa nakosea ? kwani sitashangaa kwa kuwa hata uongozi wa bakwata huwa unawekwa na CCM kama walivyofanya kumpata muft aliyeko sasa hivi ambaye hakuwa chaguo la waislam. Hivi kweli tamko hili linaweza kutolewa na kiongozi aliyekamilika ambaye haoni watu wanavyoteseka na maisha mabovu? Bakwata hivi hamuoni masheikh wanavyoteseka inafikia kipindi watu kugombea misikiti kwa sababu ya umasikini unaosababishwa na serikali ya CCM? Hivi katika mafundisho ya uislam kuna popote panaposema kuwa uislamu unakubaliana na Ufisadi? kwanini mnaidhalilisha dini yetu wakati nyinyi ni chombo cha kuisimamia F.Y.I serikali haina dini na hilo la mahakama kamwe halitaingizwa kwenye sheria za nchi hii kwani kwa kufanya hivyo itakuwa nikukaribisha matatatizo na ndio maana aya ya za kwanza kabisa zilikuwa ni kuhimizwa kusoma ukishasoma then utaona mabaya na madhuri kweli pamoja na kisomo chenu hamjui mabaya yanayotokea kwa sababu ya serikali iliyoko madarakani Why you cant see? why? why? why Bakwata:flame: why? are you serious???????????????????????????/
  nishasema kuwa nitasema kweli
  Ukweli kamwe haufi na ukiuwawa na kuzikwa iko siku moja utachipua na kujitokeza tena
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  Hicho anachozungumza sheikh Msopa hakina tofauti na ile riwaya ya X-paster kuhusu mtoto Lu. 'WE THIO LAFKIANGU TEENA' hawa viongozi wa bahikita wamelambishwa au baada ya mkuu wa kaya kuapa kuwashusha mshipa kina Msopa na Mwaipopo, wamekubali kutoa 'THALAMALEKU'
   
 8. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM na Kikwete wana nini na nchi yetu hadi watafute kura kwa kila njia hata udini? Wanatumia bahikita na gazeti la serikali kutangaza udini. RAI wanatangaza udini wa CCM, Mtanzania wanatangaza wanatangaza udini wa CCM, hata gazeti la serikali Habari leo nao wanatangaza udini wa CCM.

  Dawa ni watanzania kuwanyima kura wagombea wote wa CCM akiwemo Kikwete. Kwanza walishasema hawahitaji kura za Watanzania kwa nini wanatuharibia nchi yetu kwa udini?
   
 9. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  jamaa alishasema hahitaji kura za wafanyakazi ya kwangu hatapata ya baba, mama, mke wangu mjomba baba mkwe mamamkwe ya dada na shangazi yangu na bibi yangu nahakikisha hizi hapati
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Waemeanza tena hawa jamaa na kabobo zao za ukadhi? Tatizo ni uwezo mdogo wa kufikiri!
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,805
  Likes Received: 5,098
  Trophy Points: 280
  ..wameshachukua kitu kidogo hao.
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  By the way hiyo ilani ya uchaguzi imetoka kwani? ELIMU NIMALI NDUGU ZANGU WAISLAM, Maana aamini ata elimu ahera ukiwa na elimu dunia hayo maandiko unaweza ukayaelewa vizuri zaidi.
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  anayekusahau wakati wa uhitaji wako, anakukumbuka wakati wa shida zake,
  hakuna lolote hapo ni kiini macho, waislamu wanatumiwa kama ngazi ya kupandia tu,
  wakitumia ilimu zaidi kuelewa hilo jambo wamepotea, ni bora wa apply ELIMU
   
 14. bona

  bona JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  ccm they are just buying time but there is no political will to start that court! ukweli ni kwamba hamna kitu kama icho kitakuja anzishwa hapa nchini labda kungekua na mapinduzi ya mtutu kama kule iran!
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Kuna mchangiaji mmoja hapa JF aliwahi kusema kuwa hawa akina Mwipopo na kundi lake ni waganga njaa tu kwani baadaye wataonwa na wahusika kisha watazunguka Tz nzima kushawishi waislamu waichague CCM, na kweli imekuwa hivyo. Hawa wanataka kuwafanya Waislamu kama mtaji wao kuchuma toka kwa watawala, lakini naamini kuwa Waislamu wengi ni wakomavu watafanya maamuzi kwa utashi wao na siyo kupelekeshwa na hao njaa kali wameshalamba mamiliono ya JK
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Si lazima ujifanye muislam, unaruhusiwa kuchangia hata ukiwa si muislam. Hoja zako ziko very weak, If you do not have to say just keep quite. Is just simple.
   
 17. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  ahsante kaka/dada
  kumbuka ijapokuwa wewe CCM lakini ukweli kamwe haufi kwani shida wanazopata wengine kwa ajili ya utawala huu mbovu wewe huzijui kwa kuwa umekaa mjini muda na labda umiongoni mwa familia bora
   
 18. GY

  GY JF-Expert Member

  #18
  Aug 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  I think was universal,,,,,,chuma bee ni shilingi 2,,,when Tz was Tz chini ya mwalimu,,,kila kitu kilitungiwa nyimbo,,,angekua yeye bado ndo stelingi lazima watoto wangekuwa wanaimba mafisadi shuleni,,na ni lazima
   
 19. GY

  GY JF-Expert Member

  #19
  Aug 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Duh!
   
 20. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #20
  Aug 2, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Sasa nafahamu sababu kwanini wanchama wa JF wanahamia 'Issa Michuzi blog'.

  Nyie endeleeni hivyo tu na mawazo ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini, wakati watanzania wanafahamu dhati kuwa Sheria za kanisa haziwahusu waendao Msikitini. Na hali kadhalika kwa mahakama ya kadhi haitomuhusu mzee wa kanisa. Hilo ndilo la msingi, na kwa wale wataobahatika kutembelea Issa michuzi blog hawataona au kusoma upotoshaji wa maudhui kupitia udini.

  Na ukifanikiwa kuingia huko nakuhakikishia kuwa JF utaingia kwa nadra sana. Mkitaka kuuwa Blog endeleeni na mambo kama haya, mimi siwahukumu, ni wakati ndio utawahukumu.
   
Loading...