Waislamu wanatubeba sana!!

Kwa kweli wako juu !! Hongereni sana ,maana hata 99% ya magaidi, bokoharam, na wengineo ni wao.
 
Sema tu kama unataka niingie Msikitini ili tu unikutanishe na wale Jamaa walewale wale waliosilimu ili unitambulishe na mimi kwao.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Maana sioni fundisho la kustaajabisha zaidi ya hilo. Kuswali na wale mamjamaa.
 
Sorry. Unamaanisha baba yako alisilimu? Akakuacha wewe kwenye Ukristo?
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] lete andiko basi wa ayo nilokwambia apo juu
 
Hakika kama Taifa kuna watu fikra zao zimelemaa sana. Karne hii ya sasa ya sayansi na Teknolojia bado kuna watu mnawaza udini? Kwamba uislamu na ukristu kipi ni bora? That's why tunaonekana as shit hole countries..

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka kuna uislam na waislam, ktk uislam hayo Mambo yote Ni haraam
 
USHIRIKINA WANAUJUA HASWA.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] lete andiko basi wa ayo nilokwambia apo juu
Napenda kutoa shukrani za dhati kabisa kwa Waislamu waliohusika kuleta Uhuru ya nchi ya Tanganyika.
Pia napenda kuwapongeza Waislamu wote waliokubali kusoma shule za Wamisionari wa Kikristo wakati wa Mkoloni ambao wengi wao leo ni viongozi wandamizi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kwa sasa tuelekeze nguvu zetu katika kuzidi kujielimisha na kuijenga nchi ya Tanzania.
 
Kijana najua hutoweza kupata ayo maandiko mpk mwisho wa dunia
M nakushauri kaa chini usome ipi ni dini Sahihi
 
Soma kijana ili uelimike japo kidogo.
1. Agano jipya lilitabiriwa kabla ya Kristo.

[emoji117]Yeremia 31:31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.
32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema Bwana.

2. Yesu hakuwa Mkristo, kwakuwa Yesu ndiye Kristo mwenyewe.
[emoji117]Wanafunzi wake ndio waliitwa Wakristo.

3. Yesu hakuingia Kanisani.
[emoji117]Kwakuwa wakati wake Kanisa halikuwepo.

{ [emoji117]Tafadhali hebu jibidiishe kusoma kwakuwa unauliza maswali yakitoto sana tofauti na umri wako.
[emoji117]Pia hapa sio mahali pa kujibishana hoja za Dini kwakuwa ni nje ya Mada husika. Wanaosoma hapa hawapendi malumbano ya kidini na ni lazima tuwaheshimu.
[emoji117]Ukitaka mihadhala ya Kidini turudi kule kwenye jukwaa letu hapa tutakuwa tunaenda kinyume na sheria za Jamii Forum. Hebu Jadili Mada husika hapa }
 
Fungua iyo bible yko angalia maana ya hekalu ni nini?

Sasa kma Yesu hakuingia kanisani mm namfuata yy hakuingia kanisani na mm siingii kwn kuna tabu gni apo?
Kwaio Yule kiongozi wenu kutaka kuruhusu Ugasho pia ni katika agano jipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…