Waislamu wa amerika waswali tarawehe kanisani.

Waislamu wa amerika waswali tarawehe kanisani.

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,946


WAISLAMU WASWALI TARAWEHE KANISANI.

Uongozi wa Kanisa Moja nchini Marekani lililopo katika mji wa Burke, kaskazini mwa Virginia, umewatengea eneo katika jengo la Kanisa kwa ajili ya

waislamu waishio eneo hilo, ili kuswali swala ya ishaa, tarewehe na ijumaa.

tukio hilo limepokelewa kwa furaha na hishima kubwa na waislamu waishio jimbo hilo ambao wengi wao wageni kutoka nchi mablimbali duniani.

Mmoja ya waumini hao alipongeza uwamuzi wa kanisa hilo kutenga sehemu kwa ajili ya waislamu kufanya ibada katika mwezi huu mtukufu wa

ramadhani, ،

''kanisa limeonyesha ushirikino, uvumilivu wa kinidi na kusaidiana katika masuala ya kijamii'', alisikika muumini huyo wakati akiripotiwa na radio sawa

ya nchini Marekani inayorusha matangazo yake kwa lugha ya kiarabu.

Chini video waislamu wakiswali tarawehe kanisani:






HAYA TENA WAISLAM WA BONGO NA WAKRISTO WA BONGO EGENI HUO MFANO ACHENI TOFAUTI ZENU ZA MAMBO YA KIDINI KUWENI PAMOJA MUVUMILIANE MUWE KITU KIMOJA. UMOJA NI NGUVU UDHAIFU NI UTENGANO.
 
Last edited by a moderator:
Kama ingekua ni msikiti ndo umetoa eneo hilo nadhani sasa ungekua umeshalipuliwa!!!!!!!!!

Maana hawa watu ni noma!
 
Back
Top Bottom