Waislamu tusimnyanyase mtu kama hajafunga

Waislamu tusimnyanyase mtu kama hajafunga

Hii dini ya kishenz sana
Yawezekana kwa maoni yako ila isiwe ile unayoiamini ikawa ya kishenzi zaidi katika maoni ya wengine...
TUVUMILIANE NA TUJIFUNZE KUISHI KWA KUHESHIMIANA...
BILA YA HAO UNAODHANI WASHENZI LEO (FUATILIA HISTORIA YA UHURU) AMA UNGALIKUWA UNGALI UKISHETA MASHONDENI...
 
Hii dini ya kishenz sana
Tatizo hutaki sema ulikuwa mashenzini wapi walikokutendea ushenzi.... nataka kufanya tathmini ya kiwango cha ushenzi wa washenz ili nijue washenz wamemfanya nini mshenzi anayejidhani kastaarabika mpaka analalamika kishenz sana... ISIJEKUWA ULIKUWA UNAENDA PEMBA UKAJIKUTA UMETUA MOMBASA KWA WABARAWA...
 
acha uzushi wewe sio muislam na pili mbona waislamu wanakula hakuna wakuwapigia kelele pita kariakoo uone funga sio kwa ajili ya mtu unafunga kwa ajili ya mungu wako sijaona muislam kamtukana mtu eti hajafunga halafu unajidai eti katukanwa kwenye nchi yake kwani huyo mwingine sio nchi yake. hata wewe sio nchi yako hii nchi hii ni ya adamu na eva waliambiwa nendeni mkatawale ulimwengu wewe na adamu mnafanana hata rangi hamko sawa
Mbona Zanzibar wanapiga wasiofunga!? Mijitu isiyo na elimu ni hatari
 
Mbona Zanzibar wanapiga wasiofunga!? Mijitu isiyo na elimu ni hatari
Anopigwa kajitakia mazee, km ni mgeni alipaswa kujua na kutii taratibu za seem usika. Km ni mzawa ndo kabisaa amekiuka mila na destul za jamii yake anapaswa kuadabishwa
 
Ha haaaa....kiti moto yangu inadoda tangu mfungo uanze sasa sijui na wakristu nao wanafunga?
Hata wauzaj wa bia wanalalamika ila cha kushangaza sijawahi kwenda bar au popote wanakouza kileo nikamkuta mwislam yeyote yule.
 
Moja kwa moja kwenye mada Niko maeneo flani kwa mda wa siku2,Leo nimeshuhudia MTU ananyanyaswa ndani ya nchi yake kisa hajafunga?
Hata km ye ni muislamu huwezi jua kwann hajafunga.

Dini yetu ni ya amani(Islam) hata mtume wetu Mohammad (sw) hakuwahi kuwa na Tabia za kihuni hivi.
Busara itumike katika kuliendea jambo lolote lile.
Vitu km hivi vinafanywa na watu wachache wanaharibu ukweli juu ya dini.
Assalam Alyekum!
Mbona huwa mnaumia sana mkiona waislamu wanafunga au wansfuata muongozo wa dini yao. Huyo mtu amenyanyaswa vipi hebu tuambie acha uzwazwa
 
Back
Top Bottom