Waislamu nijibuni haya maswali

Waislamu nijibuni haya maswali

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
5,543
Reaction score
9,166
Quran ni kitabu kilichokamilika na hakina mashaka ndani yake
1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi?
Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa

2. Wafuasi wa Issa walikuwa wangapi?
Quran 5:112 Wanafunzi walipo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, Mola wako Mlezi anaweza kututeremshia chakula kutoka mbinguni? Akasema: Mcheni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini

3. Nitajie majina ya wafuasi wa Issa?
Quran 3:52 Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu

4. Kwanini waislamu bado wanafanya mayahudi kuwa marafiki zao?
Quran 5:51 Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Waislamu wana manabii zaidi ya 12 mayahudi (nimeandika kama ilivyo kwenye Quran na waislamu wanavyosema). Je, Waislamu wameenda kinyume na Quran kama inavyosema?

Hawa ndiyo manabii mayahudi (nimeandika kama waislamu wanavyosema na kuandika)
Katika Uislamu, manabii wengi wa Kiyahudi wametajwa kwenye Quran na Hadith. Hawa ni baadhi ya manabii wa Kiyahudi waliopo kwenye Uislamu.
1. Nabii Idris
2. Nabii Noah
3. Nabii Hud
4. Nabii Saleh
5. Nabii Ibrahim
6. Nabii Ismail
7. Nabii Isaac
8. Nabii Jacob
9. Nabii Yusuf
10. Nabii Musa
11. Nabii Harun
12. Nabii Dawud
13. Nabii Suleiman
14. Nabii Elijah
15. Nabii Elisha
16. Nabii Yunus
17. Nabii Zakaria
18. Nabii Yahya
19. Nabii Issa

N.B
Moderator usiunganishe huu uzi na uzi mwingine
 
Nabii Issa na yesu ni watu wawili tofauti, Nabii Issa hakufundisha watu wamuite mungu wala mwana wa mungu, yesu kafundisha watu wamuite mungu na mwisho akatundikwa msalabani na viumbe wake, kwahiyo acha kupoteza muda kutaka ku compare nabii Issa A.S na yesu mungu alietundikwa msalabani, lazima mambo yatakuchanganya na hautaelewa.
 
Wapi umeona wanasema idris, hud, saleh,ibrahim na ismail ni wayahudi mkuu
 
. Nabii Idris
2. Nabii Noah
3. Nabii Hud
4. Nabii Saleh
5. Nabii Ibrahim
6. Nabii Ismail
7. Nabii Isaac
8. Nabii Jacob
9. Nabii Yusuf
10. Nabii Musa
11. Nabii Harun
12. Nabii Dawud
13. Nabii Suleiman
14. Nabii Elijah
15. Nabii Elisha
16. Nabii Yunus
17. Nabii Zakaria
18. Nabii Yahya
19. Nabii Issa
Kuwataja Idris,Nuh,Hud,Swaleh,Ibrahim,Ismail,Is-haq na Yaqub kuwa eti ni Manabii wa kiyahudi kunaonyesha wewe bado hamna unachokijua
 
Maswali yenyewe sio ya msingi na wala hayana faida katika imani
Anataka wataje kila kitu imekuwa kitabu cha historia hicho, hata kwenye kisa cha watu wa pangoni kwenye quran si wanasema kuwa wanauliza na kubishana idadi ya wale watu walikuwa wangapi, ila lengo sio idadi lengo ni funzo,
 
Yaani anataka watu watajwe majina yao mara wamezaliwa wapi yaani wanafikiri Qur’an ni kitabu kwa ajili ya historia ya watu wa kale
At least hilo swali la mwisho kidogo linaleta maana ingawa bado nalo hamna kitu maana hapo tumeambiwa wayahudi wa dini yeye anadhani wayahudi wa kabila
 
Nabii Issa na yesu ni watu wawili tofauti, Nabii Issa hakufundisha watu wamuite mungu wala mwana wa mungu, yesu kafundisha watu wamuite mungu na mwisho akatundikwa msalabani na viumbe wake, kwahiyo acha kupoteza muda kutaka ku compare nabii Issa A.S na yesu mungu alietundikwa msalabani, lazima mambo yatakuchanganya na hautaelewa.
Nimeuliza kuhusu Issa na siyo Yesu.
Kwa maana hiyo Quran haijitoshelezi na waislamu hawajui kati ya Issa na Yesu ndiyo maana hakuna swali lolote ambalo wamejibu.
Jibu maswali hayo hapo juu.
 
Yaani anataka watu watajwe majina yao mara wamezaliwa wapi yaani wanafikiri Qur’an ni kitabu kwa ajili ya historia ya watu wa kale
At least hilo swali la mwisho kidogo linaleta maana ingawa bado nalo hamna kitu maana hapo tumeambiwa wayahudi wa dini yeye anadhani wayahudi wa kabila
Kwahiyo nikisema Issa amezaliwa chini ya mtende huko Zanzibar. Kwahiyo hapo ni sahihi?
Bado haujajibu hata swali moja😀😀😀😀
Asante kwa kujaribu
 
Kuwataja Idris,Nuh,Hud,Swaleh,Ibrahim,Ismail,Is-haq na Yaqub kuwa eti ni Manabii wa kiyahudi kunaonyesha wewe bado hamna unachokijua
Kwani hakuna manabii mayahudi?
Ingekuwa vyema ungejibu maswali na siyo kukimbia maswali
 
1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi?
Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa
Naanza na hili kwanza, muda wa kufuturu huu
pumbavu wewe, kilaza nyang'au wahed unaenda kuokota vipande vipande halafu unauliza maswali ya kichoko
Soma hii lugha kama inapanda halafu elezea wapi panasema alizalia kwenye mtende pumbavu wewe

1772041276119.png
 
. Wafuasi wa Issa walikuwa wangapi?
Quran 5:112 Wanafunzi walipo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, Mola wako Mlezi anaweza kututeremshia chakula kutoka mbinguni? Akasema: Mcheni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini
Huu usenge ndio nini umeaandika hapa
Hata sielewi nikujibu nini mbulula wewe
Ndio maana huwa nasema nyinyi walokole mavi ni vilaza, wote na wenzenu humu elimu iliwapita kushoto sasa mnajifanya mtaonekana usomi mkichambua upupu upupu
Hujui hata kuandika na wala kuhoji
 
Naanza na hili kwanza, muda wa kufuturu huu
pumbavu wewe, kilaza nyang'au wahed unaenda kuokota vipande vipande halafu unauliza maswali ya kichoko
Soma hii lugha kama inapanda halafu elezea wapi panasema alizalia kwenye mtende pumbavu wewe

View attachment 3548769
Dini yako inakufundisha kutukana? Baadae utasema karibu kwenye uislamu ni dini ya haki na amani😀😀😀😀
Ingekuwa vyema ungejibu hayo maswali
 
Back
Top Bottom