Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa


ushatekwa na wagala wa jf kifikra mkuu..jaribu kurudi nyuma uone wenzio waliko.
 
pamoja na kuwa waislamu hawataki kunyanyaswa, wakumbuke kuwa hapa tanzania tuna: jeshi la ulinzi la wananchi wa tanzania.
waislamu wanaamini kama haki hakuna basi kufa ni bora zaidi. Na vitisho havisaidii kitu. Issue ni kutenda haki sawa na kukomesha uonevu makazini, mashuleni, na hata mavyuoni.
 
Sasa mimi nashindwa kuelewa. Kama lengo ni kumtoa Mufti, kwa nini waandamane nchi nzima? Ofisi za Mufti hawazijui? Hayo maandamano yanamanufaa gani kwa watu wengine ambao hawahusiki kabisa na uongozi wa waislam?
 
Viongozi wa jumuiya na taasisi za kislam(Taasisi iliyokuwa inaongozwa na Ponda kama katibu) imetangaza kuongoza maandamano mengine tena tarehe 02 november 2012.Hayo yamesemwa na Bwana mmoja anayeitwa kondo bungo alipokuwa akihojiwa na BBC jana usiku.alipoulizwa kama wana kibali au mpango wa kuomba kibali polisi kwa ajili ya maandamano hayo alisema "hatuhitajiki kuomba kibali bali kutoa taarifa na kisha kuandamana".Ndugu zangu nisaidieni juu ya sheria na utaratibu sahihi wa maandamano.je! ni kweli hamna sababu ya kuomba kibali kwa mutibu wa taratibu za nchi hii au watu hukosea kutafsiri sheria?je!kitaalam ni sahihi kila kundi linapotaka kuandamana siku yoyote,mahali popote na kuelekea popote linatakiwa liachwe tu bila masharti?je!maandamano ya namna hii yanakuwa na nia ya dhati ya kutatua matatizo ya kijamii au lengo ni kuipima serikali?
 

Kwa hakika hakuna dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ila ni UISLAMU TU.
 
JWTZ wapo fit kuwaangamiza hao Waislam. Waandamane tu ili nishuhudie wanavyoangamizwa. Itakuwa ni sherehe siku hiyo.

Angalia mawazo ! Angalia upeo wa akili , Angalia fikra duni hizo. Wewe omba amani na sio watu kuuwawa. JWTZ au Serikali haina uwezo wa kuhimili machafuko makubwa ya ndani. Usiombe kuelekea huko ni pabaya sana na hakuna njia rahisi ya kujitoa ukisha ingia huko.
 

Tufikie sehemu tuchoke na hizi mada za WAISLAMU WAISLAM WAISILAMU n.k.

Mimi nilichosikia ni kuwa Wafuasi wa Gaidi Ponda Issa Ponda wanapanga kuandamana. Na nakuhakikishia, anatania tu hana jeuri hiyo. Yule mwehu mwenzake atakula iddi gerezani
 
Hivi kumwaondoa sheikh mkuu ndio lazima mfanye maandamano? maandamano siyatoa draw attetion hata kwa wasio waislamu, mbona mnataka mambo yenu watu wote tushiriki, why? hivi kwa mfano wakristo wakiwa hawamtaki askofu fulani, umeisha sikia wanaandamana? ugomvi wao si hua unaishia huko huko makanisani mwao tu? sana sana tutakuaja sikia kupitia vyombo vya habari kua, Mmm, Dayosisi ya Pare kuna mgogoro, auy Kanisani kwa Kakobe kuna issue, hivi nyiem mbona mambo yenu binafsi mnataka kila mtu awaunge mkono, hamjui wengine hua wanaiona dini yenu sio ya Mungu? mtoeni huyo mufti wenu nyie wenyewe, msitake kutafuta company kwa wengine! poor decision kabisa!
 

Kwa hakika hakuna dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ila ni UISLAMU TU.

Moreover, the Tourat clealy says that NO PROPHET was to be expected from ishmael, for God's covenant was made with ISAAC, NOT with him (Gen17:18-20; 21:10-12) The quran also in several places speaks of the prophetic office as having been entrusted to Isaac seed (surah 29, al ankabut, verse 27, al jathiyya verse 15)
Labda mkuu unifahamishe alicho sahau MMungu hadi amtume muamad!
 

kwa hakika hakuna dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ila ni uislamu tu.

je ni haki gani? Au ya kuuana au kutukanana wenyewe kwa wenyewe au pia kubomoa makanisa na kuchoma magari na mali zingine?

Au ni haki ya upendo, amani na yote yaliyo mema kwa mungu?

Na ni mungu gani? Au ni mungu wa herufi ndogo au kubwa?

Tuangalie ya dini na kutofautisha au kilinganisha na matendo. Hapo ndio utaona ni ya mungu wa kweli wa upendo au mungu wa pili wa maovu
 
ushatekwa na wagala wa jf kifikra mkuu..jaribu kurudi nyuma uone wenzio waliko.

yaser muislamu mwenzetu kaongea ya msingi..
Na tusiwapuuze wagala wa jf; most of the time huwa wanatwambia ukweli
 
Last edited by a moderator:

Dah kwa mtaji huu! itachukua muda sana kwa presidaa muislam kuchaguliwa kutawala tena nchi hii
 
Huwezi kutishia nyau mtu mzima.........wao waende tu kwenye maandamano waone km allah atawasaidia.......kabla ya kufanya hivyo wawaulize wale ma hardcore wa kiislamu waliotangulia ambao ni osama bin laden, sadam hussein, gadafi km allah aliwasaidia!
 
siku hiyo lazima nimvizie jwtz yeyote ili nipokonye siraha . Sasa nikiikamata hiyo siraha nitaua waislamu kulingana na idadi ya risasi zitakazokuwemo maana inaonekana kwa amri ya waislamu kova na mwema waislamu wanafanya watakavyo
ikiwa wewe ni muadilifu na unadhani ukiotea na kuua waislam itakuwa ni sahihi basi pia uamini kwamba wakikuotea wakikua pia itakuwa sahihi,vinginevyo nawe utakuwa ni sehemu ya tatizo
 
acha udini na uchochezi.mimi siungi mkono hawa jamaa kuandamana ila pia siungi mkono hoja zako.kwani viongozi wa sarikali akiwemo igp wanawaunga mkono hawa jamaa?kwani wamesema maandamano yatakuwa dar tu?sasa mbona hypothesis yako inaonekana imekaa ki bias sana? Chadema wanaandamana kila siku na wanaachwa tu ni kwa kuwa kikwete,igp n.k ni waislam na ni watu wao? Unadhani kwa kuwa uongozi wote wa juu ni ccm,basi ipo haja na wao wakawa wanaandamana mara kwa mara kwa hoja kwamba hawawezi kufanywa kitu kwa kuwa viongozi ni wao?
 

uko sahihi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…