Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

Hotuba za Chuki na Visasi Misikitini huwapa Mori wa kuandamana.'Hajui aendako wala Atakapowapeleka!
 
Naibu mwenyekiti wa jumuiya ya waislam anafanya maandalizi ya maandamano ya waislam Tanzania nzima siku ya ijumaa. Lengo la maandamano ni pamoja na kushinikiza viongozi wa BAKWATA itoke madarakani. Mwenyekiti huyo kasema kuna sababu zingine ambazo hakuzisema katika redio ya BBC leo. Hii ni changamoto kwa serikali ya TZ

Maandamano vipi wakuu? Yameanzia wapi na yamefika wapi kwa sasa? Au ni Ijumaa ijayo?
 
kikwete kawabeba sana ila hawabebeki hawa jamaa -- sasa acha waingie mtaani waone wakakavyovunjwa miguu na JWTZ.
 
Back
Top Bottom