Thats aout of EMOTIONAL and myopic thinking. Kila jambo linalotokea wanaliangalia kwa jicho la UDINI. Hata sijui presenters wa hiyo radio/ tv wamesomea vyuo gani. Lazima itakuwa ni madrass tu!!!!
waongee na prezidaa! redio siipendi ile
waliobaki wakawe walimu wa madrasa si lazima wawe mawaziri
Nimesoma naye Madrassatul Al hamidiya Kibada, ambapo juzi Ustaadhi kampiga kipara mwanafunzi.