Kuanzia TSF sijui na nini tena hadi chini, wachezaji na wazamini woote na wana mabodi sijui 90% ni watu wenu.Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa. Kinyume chake
kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maaana.
Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Haa Ila MkuuWaislamu wa simba hii haituhusu kabisa , labda wale wanywa supu ya vibudu
Labda wakiona mchango wako hapa wewe "swala tano" wanaona na aheri wakapige nyagi za baridi.Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa. Kinyume chake
kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maaana.
Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Sijataja timu master wale ni waswahili wa hovyo mno kitu kidogo tu mara kunywa supu , mara kuweka mabango , yani ili mradi tu wenye akili wabaki wawili tu😆Haa Ila Mkuu
Kibudu Kinaliwa Yanga
Ila Manara anaona mbali sanaSijataja timu master wale ni waswahili wa hovyo mno kitu kidogo tu mara kunywa supu , mara kuweka mabango , yani ili mradi tu wenye akili wabaki wawili tu😆
Vijana mnatumwa siyoSijataja timu master wale ni waswahili wa hovyo mno kitu kidogo tu mara kunywa supu , mara kuweka mabango , yani ili mradi tu wenye akili wabaki wawili tu😆
Sijamtaja mtu mkumbuke wakuu🤔Ila Manara anaona mbali sana
Kwani wanaenda kobaz pekee?Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa.
Huna lolote 😄Sijataja timu master wale ni waswahili wa hovyo mno kitu kidogo tu mara kunywa supu , mara kuweka mabango , yani ili mradi tu wenye akili wabaki wawili tu😆
Hahaha 😆 😂Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa. Kinyume chake
kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali hawafanyi. Anasa imekua mbele kuliko mambo ya maaana.
Hata Dube akishinda utadhani milion za wadhamini utazipata?
Tuzinduke.
Kusema Biblia ni kitabu cha kutungwa wala Yesu hakifahamu na hakipo kwenye maandiko hiyo siyo kashfa ni ukweli.Haya sasa ndio yalipaswa kuwa mahubiri ya kila siku humu, kukumbushana kumcha Mungu na kutenda mema. Na sio kukashifiana humu kisa utofauti wa dini.
Allah aendelee kutufanya kuwa watu wema 🤲
Hongera
Hayo sijui na sihitaji kuyajua.....Kusema Biblia ni kitabu cha kutungwa wala Yesu hakifahamu na hakipo kwenye maandiko hiyo siyo kashfa ni ukweli.