Waislam nijibuni hili

Roma wana makanisa na mahospitali nchi nzima kwa hiyo nao utasemaje?
Akili zenu muwe mnazijaza vitu vyenye mashiko!!!
Kwani unashikiwa bunduki au kisu kukubali dini fulani?
 
Sasa wewe mkristo unaumia nini kwa muislam kujenga msikiti?
 
Unajua eneo lote la muhimbili na muasisi wa muasisi wa hospitali ya muhimbili ni sheikh sewahaji ?

Unaonaga visima vingapi vimejengwa na muslim agency

Temeke kuna hospitali inajengwa mwembe yanga ,hospital ambayo wanawake watafungulishwa na wanawake wenzao tu
Vyote hivyo ni sadaka yenye kuendelea ukijenga hosp ,kisima ,shule regardless nani atatumia ni sadaqa ndio maana hata mtaani kwenu chunguza wengi wanaoruhusu maji yatumike kwenye majumba yao na watu wa mtaa ni waislamu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…