Waislam na Waziri Ndalichako

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,250
1,467
Hivi maisha ya kitaaluma ya waislam nchini yatakuaje.

Walimletea zengwe akiwa mtendaji mkuu Balaza la mitihani sasa ni waziri wa elimu sayansi na teknolojia.

Je uteuzivwake utakuwaje na waislamu?
 
Hivi maisha ya kitaaluma ya waislam nchini yatakuaje.

Walimletea zengwe akiwa mtendaji mkuu Balaza la mitihani sasa ni waziri wa elimu sayansi na teknolojia.

Je uteuzivwake utakuwaje na waislamu?

Serikali ya mizengwe ishaondoka madarakani..
 
Back
Top Bottom