Mimi naona kuwazuia Waislamu kwenda kwa babu haitoshi kama vp wawazuie mpaka kwenda kwenye Hospitali za mission, mpaka kwenye shule za seminari na vyuo vya makanisa... wasitake kutuzingua na hiyo yote imesababishwa na kiranja mkuu, yeye alikuwa anona raha sana enzi za kampeni kutumia udini kama turufu yake kwenye kampeni na tayari ameshajenga chuki ya kidini wakati watu tulikuwa tunaheshimiana sasa chuku binafsi tunaziona mpaka kwenye misikiti na kwenye redio mbao (Kheir)... kwanza mimi naomba wizara husika pamoja na TCRA waipige BAN hiyo radio.
Mataifa yote yatakiri kuwa Yesu ni jina kuu kuliko majina yote, sioni sababu ya waislamu kusuiwa kwenda pale kukutana na uponyaji, maana kwa babu unapokea dawa na unaombewa, sasa wasitake kuwazuia watu acha watu washuhudie uweza na nguvu ya Mungu.. maana kwa jina la Yesu wagonjwa wanapona na wenye shida wanafunguliwa..... hawana akili hao jamaa waliotoa hilo tamko mbona hata siku moja wakristo hawajawahi kutumia vyombo vyao vya habari kuwakataza wakristo wasiende pale Mwembechai kwa sheikh yahya?
Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!
Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!
La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!
Waislamu uwa hawapelekwi kibubusa na vyombo vya habari. Kwanini hao wagonjwa wa kwa babu wanaogopa kupimwa ? Ukimwi una vipimo, chukua mgonjwa mpime kisha mpe dawa halafu pima tena. Kama ukimwi umeisha ndo tuamini lakini kuelezwatu kwa mdomo häitoshi tuamini. Shida ya ukiristo ni kuaminishwa vitu ambavyo havipo. VIBWETERE, DECI, VIWETE KUPONA.
Uko dunia ipi mwenzetu watu wamejitokeza kwenye magazeti tena viongozi katika ngazi mbalimbali za kijamii wote wakitoa shuhuda wamepona au ulitaka mtu atoke ndani ya ukoo wako ndio uamini,acheni watu waende wakaponywe kwa imanikati ya radio makini ni kheir na immaan redio. Wapo wazi juu ya dawa babu loliondo kuwa ni uvumi[DECI] usiache watu wapoteze fedha kwa kuuza mali zao ili waende kwa babu ? Watu wameuza mashamba kwenda kudanganywa na babu ? Tiba gani haina anayejitokeza hadharani kuwa amepona bäada ya miezi sita walau. Mtu anakunywa dawa muda huohuo anasema kapona huku bado hajapimwa ? Utapeli mkubwa huo. Babu anastahili akamatwe kwa kudanganya umma.
Uislamu unahubiri amani maeneo gani wandugu, Somalia, Iraqi, Pakistan, Palestina au wapi? Na hiyo amani wanaihubiri kwa vikundi vijulikanavyo kama Islamic Jihad, Al Shabaab, Al Qaeda, Boko Haram, nk. Na misahafu wanayoitumia ni mabomu ya kujifunga kiunoni! Matokeo ya mahubiri ni Sept 11, 2001, ulipuaji wa balozi za Marekani nchini Kenya na Tz, London bombing and above all, TERRORISM!
Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!
Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!
La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!
Wakati wa DECI mlikusanyana pale Sabasaba Kilwa Road mkasema maneno haya haya. Oooh Yesu anagawa utajiri, kwa Mungu yanawezekana! mwisho ukweli ukajulikana kuwa ilikuwa ni SCAM! Nashangaa wale maaskofu walioshadidia hili hawakuwaomba radhi!
Leo unakuja ushetani mwingine watu mnaleta stori zilezile! Soon ukweli utajulikana msije mkabadilisha kauli hapa!
La msingi, nani aliyepimwa na kuthibitika ana HIV antumia ARV akaenda huko kwa babu akapona? Apimwe tuthibitishe kuwa kapona! Msitulee stori za imani imani hapa!
Kuna watu wanaongea tu bila kujua kwanini UISLAM unampinga Babu wa loliondo,kwanza napenda kuwaambia ndugu zetu ktk Adam waislam wanamkubali Yesu kama mtume/nabii,hakuuwawa na ndo maana yupo hai;Na mtume Mohammad s.a.w ni mtume na nabii wa mwisho so wanapomuona mtu anaamka na kusema yeye ni nabii kama Babu inakuwa ni kinyume cha mafundisho ya uislam thatz y wanazuia.Na Yahya ni mchawi mkubwa kama kakobe,lwakatare,mwalusako,nk
Hata huko hospitali tunapoenda bado ugonjwa wa mtu huwa ni siri kati ya daktari na mgonjwa hivyo sioni mantiki ya kutaka watu wakapime na kuonesha hadharani kama wameponywa au vipi,kuna mambo mengine yanashangaza sana hapa duniani babu hajaita mtu yeyote kwenda kule na wanaenda kwa dhamira ya kupona.wanasema mbona hawajitokezi na kupimwa hospital?
Nafikiri hamjaelewa hapa uislam haukatai tiba bt unapinga tiba ambayo inamshirikisha mungu hivi kama m2 akitibu bila kupromote uwongo nani angekataa sasa huyu babu muongo coz ISSA{A.S} alitibu kwa idhini ya ALLHA 2 huyu kwa mizizi alafu anamsingizia mungu kampa uwezo wakati INJILI inasema kwa uwezo wa mungu utapona basi km ndo kukiri kuwa ukristo ndo umemuwezesha basi wengi we2 tungekuwa HINDU coz kila cku 2naenda kutibiwa india FIGO,MOYO bt hakuna cku ambayo wahindi wamejicfu mungu wao ndo anaponyesha na huyu yahya atabakia kw anapata dhambi kwa kumshirikisha mungu uislam unasema hivyo nakusu uchawi upo kila kona duniani au hujui ilo china upo na c waislam tafuta hoja nyengine NGURUWE WEWE
shida sio mitishamba bali utajwa wa JINA LIPITAYO MAJINA YOTE yaan YESU. kwa maana hawakubali wala hawathubutu kukaa kimya maana wanajua watu wakishaenda huko watamtukuza na hapo ndipo panapogombasasa watu kwenda loliondo wao inawauma nini? kwani quran inakataza mitishamba?