Nadhani nchi sahihi kwenda ni kwa waislamu wenzao, huko watakuwa comfortable! kuliko kwingine. They will face discriminationWafuasi wa chama kinachopinga wahamiaji Ujerumani (Afd) wameiunga mkono ilani ya chama chao inayosema Uisilamu hauendani na utamaduni wala katiba ya Ujerumani, na wanataka misikiti na mavazi ya waumini wa kiislamu kama hijabu za kufunika uso kupigwa marufuku
Chama hicho kilichoanzishwa miaka mitatu iliyopita kimekuwa haraka kutokana na janga la wahamiaji zaidi ya milioni ambao wengi wao ni waisilamu wakiwasili ujerumani mwaka uliopita
Ujerumani ina waisilamu wapatao milioni nne ambao ni asilimia 5 ya watu wote ujerumani, wengi wao ni waliotoka Uturuki kutafuta kazi, lakini waliofika kuanzia mwaka jana ni waliokuwa wanakimbia mapigano kutoka nchi za Syria, Iraq na Afghanistan.
Chanzo: DW
Huko ndo wanabaguana kinoma.Nadhani nchi sahihi kwenda ni kwa waislamu wenzao, huko watakuwa comfortable! kuliko kwingine. They will face discrimination
Mie nilidhani wanaiishi ile kauli mbiu ya mtume ya uislam ni upendo!!?Huko ndo wanabaguana kinoma.
Kuna u - shia, u - suni, u - turk, nk ...
Kwa mfano; Wewe unafikiri kwa nini Saudia na Utajiri wote ule hawapokei hao wakimbizi wa Syria, lakini wanapokea wakimbizi kutoka Yemen?
Hawa jamaa tuwaombee tu rehema za Mungu.
Hata mimi sielewi..! Japokuwa wapo wenye moyo huo pia.Mie nilidhani wanaiishi ile kauli mbiu ya mtume ya uislam ni upendo!!?
Huko ndo wanabaguana kinoma.
Kuna u - shia, u - suni, u - turk, nk ...
Kwa mfano; Wewe unafikiri kwa nini Saudia na Utajiri wote ule hawapokei hao wakimbizi wa Syria, lakini wanapokea wakimbizi kutoka Yemen?
Hawa jamaa tuwaombee tu rehema za Mungu.
saudia ina wakimbiz lak 9 wa syriaHuko ndo wanabaguana kinoma.
Kuna u - shia, u - suni, u - turk, nk ...
Kwa mfano; Wewe unafikiri kwa nini Saudia na Utajiri wote ule hawapokei hao wakimbizi wa Syria, lakini wanapokea wakimbizi kutoka Yemen?
Hawa jamaa tuwaombee tu rehema za Mungu.
Hakika kila unalolifanya baya au kumfanyia ubaya mwenzako tambua litarudi kwako kwa namna yoyote ile. Kama unavyoona wema hauozi na ubaya haupotei. Nchi hizo hizo za magharibi na Marekani walipokuwa wanatengeneza mazingira yasiyo salama katika nchi za Syria, Libya, Iraqi nk tambua hayo ndiyo matokeo yakeIvi kwa nini wanakimbilia kwenye nchi za MAKAFIRI tena wanakokataliwa,ivi nchi za kiislamu hazioni hili wafanye utaratibu wa kuwastiri waamini wenzao.