Waingereza wametuachia tabia ya kuwa na maneno mengi bila vitendo

xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,134
7,324
Kutawaliwa na wakoloni ilikua dhambi mbaya sana kwa kwel Ila yamepita tumesahau na wanakuja na aina nyingine ya kututawala yaan ukoloni mambo Leo...

Katika vitu ambavyo Tanzania tutateseka navyo mpka mwsho wa hii dunia ni kutawaliwa na uingereza,,,,aisee tumekua na tabia ya waingereza kabsa maneno mengiiiii vitendo ziiii,kama timu yao tu ya Mpira wa miguu. Hatuna zuri kwetu,haturidhiki na chochote,hatujui tunataka nn yaaan tupo tupo tu
 
Back
Top Bottom