Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,586
- 7,976
hawa wapo wapi mkuu
; Skassy Kasambula, Kabeya Badu, Malik Star,
Skassy Kasambula yupo Kenya na bendi yake. Jamaa alitisha sana na nyimbo zake tamu kama Christina Moshi akiwa na OSS baadaye akawa tishio zaidi pale Sukuma Push (Ngorongoro Heroes). Kabeya Badu amefariki March 06 mwaka huu na Malik Star sina uhakika yuko wapi kwa sasa ila mara ya mwisho nilisikia anaishi mitaa ya Mwenge.