Mm mpaka Leo naamini km ulivokuwa unaamini ww zamani
Kwahiyoo
Ndo maana nikasema zamani nilihic ivo...lakini kwa sasa cna tena hisia hizo mkuu
sasa lengo la uzi wako ni nini? kama umeshajijibu? Poor you!
Mbona mfalme wao ana wake wawili. Ule ni muziki kama aina nyingine za muziki hayo mambo ya mchezo mchafu ni hulka ya mtu binafsi si muziki.