Waijua supu ya "night support"

Waijua supu ya "night support"

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,408
Reaction score
3,269
Wakuu supu ya pweza siku hizi inatwa night support
Kazi kwenu mnaohitaji sapoti wakati wa usiku teh teh teeh

supu pweza.jpg
 
+ konyagi hy mechi ya....................e!!! Ya kweli lkn????
 
Mbali ya hayo ya night support, supu ya pweza ni tamu jamani.
 
Mbali ya hayo ya night support, supu ya pweza ni tamu jamani.

Si uongo..., ni tamu ile mbaya tena umpate pweza ambaye soon kavuliwa toka baharini, ndio anakuwa mtamu zaidi na supu yake ndio NIGHT SUPPORT MKUBWA....!
 
+ konyagi hy mechi ya....................e!!! Ya kweli lkn????
Ila kuwa natural ni vema zaidi kuliko manjonjo coz siku ukiyakosa utaumbuka mazima....na hakuna fedheha kubwa km kushindwa kazi za nyumbani usiku.
 
Mimi nilikatiza mitaa ya ilala na mshkaji anakaa pande hizo, akanambia tushtue supu kidogo yapweza
wakati tunaendele kila anaekuja anaagiza naomba "night support". kuuliza nikaambiwa naam kwani we hujui kuwa hii ni night support
 
got it aisee....
 
Imekuwa shida sana siku hizi ukinywa supu yake inaonekana unakamia game.
OTIS
 
ukipiga na mihogo ya kuchoma..mambo inakuwa musuri
 
Back
Top Bottom