englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Wapi huko? Kwa kina hamijei?
Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini, hii itakuawa ni miaka ya '91 - '93
Hapa ni posta ya zamani upande wa baharini karibu na Azania front, hii itakuawa ni miaka ya '92 - '93