Waifu ananitegea!

It doesn't necessarily mean you are in to her.

Ila jamani some men are so attractive.

Kama OS.

(asipaone hapa please).

cc: OLESAIDIMU kwa hatua zaidi hapo penye red. Ooooh! Nimejisahau OS dont read this.
 


Aisee bidada umetisha...ivi wife kama ninyi si mpo wachache sana eeh?...
 
cc: OLESAIDIMU kwa hatua zaidi hapo penye red. Ooooh! Nimejisahau OS dont read this.

nakusaidia manake I miss him, sijamuona tangu juzi. OLESAIDIMU🙂

Hizo ngumi zake akija?
 
Last edited by a moderator:
haina makosa coz amevaa free style...wasiwasi wangu ni wife akiona halafu akifikiria unavyorudi home na sura ya mbuzi ku-maintain respect and orders angekuzibua makofi!

hahahaha,kwanza akaunt yangu haijui na hajui kama nina akaunt jf,nilichomuaminisha ni kuwa hii ni blog ya habari tu so huwa naingia huku kusoma habari.vimbwanga vya huku havijui kabisa so kunishtukia itakuwa ngumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…