Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #141
Utakuwa umeshawahi kumtenda akapoteza imani yake kwako...au amewahi sikia adithi za wanaume wasio waaminifu kaamua kuwa makini kabla hajaibiwa...au ana matatizo ya kisaikolojia...majibu ni hayo matatu...
Ila atakuwa anateseka sana kama si kukonda...badala ya kulalamika unatakiwa umsaidie kwa kuongeza mapenzi...usisubiri awe anakupigia simu yeye tu nawe uwe unapiga....maana nimeshaona dalili za kuwa bidada ana try so hard na inakuwa kama penzi la upande mmoja (kapenda asipopendwa)
she is very right
Hiv wenztu vip? Mkipendwa ohoo wankaba! Mkichukuliwa poaa oho wanawake sku hizi sio kabisa mwatakanin?
Ndo mkeo huyo sasa utafanyaje ndie Mungu aliyekupatia no way!! mpende tu
Una bahati wenzio humu wanaililia
mkuu mambo ya ndoa si vyema sana kuyaleta hapa kwani kila mtu ana mtazamo wake na ushauri wake na si kila ushauri wa kuuchukua. haya tukikwambia muache utamwacha?
kaeni chini myazungumze wenyewe.
wewe kwanini hizo function za kazini huendi nae?
au kuna jambo huko!
weweeeeee ngoja nikupe dawa,huyo mkeo inabidi umpige mimba mfulululizo uone kama ataendelea kukubana ndio apigwe tu kama amekuchosha apigwe tu ,mpige mimba bandika bandua,mmmh asikwambie mtu dawa ya mwanamke mtata ni mimba tu.
Ukishajua una- mtoko wa kiofisi au kibinafsi kama mpira nk basi uwe unamkorogea uji wa Piriton ali alale wewe uende zako uendako hadi aje kutoka usingizini wewe utakuwa umerudi ulikoenda.mbona nimetulia mkuu,mtu mzima akiamua kufanya kitu basi ujue kaamua na sio tamaa
Aisee kaka, bora ujinga unaokusaidia kuliko ujanja usio na faida... we baki na mkeo kama anavotaka... ukishupaza shingo yako hakika itavunjika na utajuta baadae.. hata wanaoibiwa wake zao walianza hiv hiv, wife anakuambia uumpe kampani halaf we unaamua kumuacha alone..... it will cost u... shauri yakotunapendana sana na waifu,tumetoka mbali na tumefanikiwa kupata watoto wawili.lakini waifu ananikaba sana,hataki kabisa niwe natoka,hata function za kazini huwa hataki niende.function za funga mwaka etc za kazini hataki kabisa niende,nikilazimisha utamkuta ananuna huyo hata kwa siku tatu na kubaki kulia tu,anadai eti kama nampenda nitamuachaje peke yake ndani.mbaya zaidi mi napenda sana mpira,basi hata kwenda kuangalia mechi ni tatizo.atakwambia huu ni muda wa kupumzika na kuwa karibu yake,nitaendaje kwenye mpira?mpira uwe mchana au usiku ananibana.kazini unaweza kupokea simu zake 3 ndani ya dk 20.wakati mwingine huwa nakaushia afu baadae namwambia nilikuwa bize.
wanamme wenzangu hebu niambieni,hivi hii ni hali ya kawaida kwenye ndoa au yangu imekuwa too much?
cc:akina dada wote mlioolewa na wale mnaotegemea kuolewa.
Aisee kaka, bora ujinga unaokusaidia kuliko ujanja usio na faida... we baki na mkeo kama anavotaka... ukishupaza shingo yako hakika itavunjika na utajuta baadae.. hata wanaoibiwa wake zao walianza hiv hiv, wife anakuambia uumpe kampani halaf we unaamua kumuacha alone..... it will cost u... shauri yako
sasa itakuwa dochie dochie kila wakati?
Unaweza kushangaa ukifa familia inakuwa na furaha kuliko sasa.i knw she is very right but namuona kama vile hayupo strong kusimama peke yake pale mitakapokuwa sipo.nikifa leo inaonekana familia itayumba sana