Redio hometheter Samsung limont nimepoteza mpya ins wiki 4 ni new brand sio mtumba bei 350000/ipo temeke chang'ombe simu 0712690760
Kaka Poxino hebu nyosha kiswahili chako,na pia weka model ya hiyo Samsung hometheatre yako,ili tuweze kujua uwezo wake,pia si vibaya ukiweka na kapicha kidogo,nimeelewa kuwa unauza Samsung hometheatre lakini umepoteza remote kwa hiyo haina remote ni mpya na ina wiki 4 toka umeinunua,kwa hiyo wadau wawahi kuinunua kwani ni radio safiRedio hometheter Samsung limont nimepoteza mpya ins wiki 4 ni new brand sio mtumba bei 350000/ipo temeke chang'ombe simu 0712690760
Wadau nimeuza teyale asanten kwamaushauri
Kwa kutuletea kiswahili cha Kingazija kwenye JF asentehkwanini kaka