s/n | SOMO | WARATIBU WAKRISTO | WARATIBU WAISLAMU | JUMLA |
1 | UALIMU | 5 | 2 | 7 |
2 | HISTORY | 2 | 0 | 2 |
3 | GEOGRAPHY | 1 | 0 | 1 |
4 | BIOLOGY | 2 | 0 | 2 |
5 | ENGLISH | 2 | 0 | 2 |
6 | PHYSICS | 1 | 1 | 2 |
7 | CHEMISTRY | 3 | 0 | 3 |
8 | KISWAHILI | 1 | 1 | 2 |
9 | MATHS | 3 | 0 | 3 |
10 | BIASHARA | 0 | 1 | 1 |
11 | UFUNDI | 4 | 3 | 7 |
12 | MAPISHI | 1 | 0 | 1 |
13 | CIVICS | 2 | 1 | 3 |
"Sitting and wishing does not make a person,
God has thrown the bait,
you must go fishing,
If you go hungry do not blame anyone,
It is because you are lazy!!!!
Jamani wana JF nauomba tuchangie mada hii kwa kumtazama mleta Thread kwa mapungufu yake na wala si uislam, mimi ni muislam na ninamshukuru Mungu ninaelimu nzuri tu tena sana na nimeipata katika mfumo huu huu, na hii iliwezekana tu kwa kufuata mafundisho ya Uislam kuwa "Itafuteni elimu hata kama ni Uchina"! So si kweli kuwa waislam wote tunamapungufu haya ni wachache tu ambao hawataki kushughulisha akili zao kufikiri na hao ndio wanaofanya UISLAM na WAISLAM tutukane kila wanapoleta mada zenye hoja za kitoto humu! hivi wameishajiuliza kwanini matokeo ya seminari ya kiislam ya Kilinjiko ni mazuri! au huyo Ndalichako hajui kama Kilinjiko ni seminari ya Kiislam? Tafadhali mleta mada hebu fanya homework yako kwanza kabla ya kuja kututukanisha hapa!
Hawa ndio wanaohusika na kutengeneza Mitihani, kuteua watunzi wa mitihani na kuchagua wasahihishaji.
s/n SOMO WARATIBU WAKRISTO WARATIBU WAISLAMU JUMLA 1 UALIMU 5 2 7 2 HISTORY 2 0 2 3 GEOGRAPHY 1 0 1 4 BIOLOGY 2 0 2 5 ENGLISH 2 0 2 6 PHYSICS 1 1 2 7 CHEMISTRY 3 0 3 8 KISWAHILI 1 1 2 9 MATHS 3 0 3 10 BIASHARA 0 1 1 11 UFUNDI 4 3 7 12 MAPISHI 1 0 1 13 CIVICS 2 1 3
Lazima tubadilishe hali hii. Edwin Mtei kasema maamuzi ya mtu huathiriwa na Imani yake. Hivi waislamu watapona kweli.
Wakuu wa Idara Wapo Watano.
- Kitali Mkristo
- Mafie- Mkristo
- Mbowe- Mkristo
- Haule- Mkristo
- Salim- Mwislamu
Mkurugenzi Ndalichako Mkristo
Mkurugenzi Msaidizi- Jina Limenitoka- Mkristo.
Hata ukisikia wanadai kosa lilikuwa la kibinadamu la kuficha alama za waislamu, kwa mtazamo wangu naona hawa ni waongo.
Haya wanajf kolezeni ili kuleta utengamano nchini. Changie kwa uangarifu na uerewa sana
Jamani wana JF nauomba tuchangie mada hii kwa kumtazama mleta Thread kwa mapungufu yake na wala si uislam, mimi ni muislam na ninamshukuru Mungu ninaelimu nzuri tu tena sana na nimeipata katika mfumo huu huu, na hii iliwezekana tu kwa kufuata mafundisho ya Uislam kuwa "Itafuteni elimu hata kama ni Uchina"! So si kweli kuwa waislam wote tunamapungufu haya ni wachache tu ambao hawataki kushughulisha akili zao kufikiri na hao ndio wanaofanya UISLAM na WAISLAM tutukane kila wanapoleta mada zenye hoja za kitoto humu! hivi wameishajiuliza kwanini matokeo ya seminari ya kiislam ya Kilinjiko ni mazuri! au huyo Ndalichako hajui kama Kilinjiko ni seminari ya Kiislam? Tafadhali mleta mada hebu fanya homework yako kwanza kabla ya kuja kututukanisha hapa!
Jamani wana JF nauomba tuchangie mada hii kwa kumtazama mleta Thread kwa mapungufu yake na wala si uislam, mimi ni muislam na ninamshukuru Mungu ninaelimu nzuri tu tena sana na nimeipata katika mfumo huu huu, na hii iliwezekana tu kwa kufuata mafundisho ya Uislam kuwa "Itafuteni elimu hata kama ni Uchina"! So si kweli kuwa waislam wote tunamapungufu haya ni wachache tu ambao hawataki kushughulisha akili zao kufikiri na hao ndio wanaofanya UISLAM na WAISLAM tutukane kila wanapoleta mada zenye hoja za kitoto humu! hivi wameishajiuliza kwanini matokeo ya seminari ya kiislam ya Kilinjiko ni mazuri! au huyo Ndalichako hajui kama Kilinjiko ni seminari ya Kiislam? Tafadhali mleta mada hebu fanya homework yako kwanza kabla ya kuja kututukanisha hapa!
Waisilamu kama wewe mleta mada mko na akili gani?? kuna mmoja wenu Facebook kapost eti waisilamu msishiriki sensa!! kweli hii ni akili kweli???
Wakristo wanahangaika kubolesha elimu kwa kusomesha na kuleta taasisi za elimu ila nyie mmelalia kupeleka vijana madrasa kusoma kiarabu masaa 8 kati ya 24 mnategemea mfaulishe kweli??? Kama alivyo sema mchangiaji hapo juu weka na CV za hao waislamu tuone kama wanastaili kuwa hapo!
waambie bwana wanaboa!
Jamani wana JF nauomba tuchangie mada hii kwa kumtazama mleta Thread kwa mapungufu yake na wala si uislam, mimi ni muislam na ninamshukuru Mungu ninaelimu nzuri tu tena sana na nimeipata katika mfumo huu huu, na hii iliwezekana tu kwa kufuata mafundisho ya Uislam kuwa "Itafuteni elimu hata kama ni Uchina"! So si kweli kuwa waislam wote tunamapungufu haya ni wachache tu ambao hawataki kushughulisha akili zao kufikiri na hao ndio wanaofanya UISLAM na WAISLAM tutukane kila wanapoleta mada zenye hoja za kitoto humu! hivi wameishajiuliza kwanini matokeo ya seminari ya kiislam ya Kilinjiko ni mazuri! au huyo Ndalichako hajui kama Kilinjiko ni seminari ya Kiislam? Tafadhali mleta mada hebu fanya homework yako kwanza kabla ya kuja kututukanisha hapa!
Unajua mie nimesoma na waislamu hadi chuo kikuu tumekuwa tukishirikiana nao vizuri na hata kazini sioni tofauti...Ninawashangaa hawa wa JF ...Nadhani wapo kuwaharibia waislamu wa ukweli waliosoma wakaelimika na ....Kuweni wakali kuwaambia wazi wasiidhalilishe dini yenu na kuwafanya muonekane kuwa hamna hata uwezo wa kufikiri....Nimependa msimamo wako if at all wewe ni muislamu...