Wahuni waliochochewa washambulia misikiti Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahuni waliochochewa washambulia misikiti Mwanza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shinto, Jul 10, 2011.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika vurugu za juzi mjini Mwanza kati ya wanaojiita wamachinga na polisi, misikiti miwili ililengwa na kushambuliwa na kundi la wahuni. Wahuni hao wenye mafungamano na chama kimoja cha upinzani walifanya shambulio hilo ambalo lina kila dalili lilipangwa! Je, huu ni mwanzo wa kile kilichokuwa kinahofiwa na wengi juu ya mwenendo wa chama hicho cha siasa chenye kuegemea dini fulani?
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 2,861
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Tumia akili za kichwani kuliko kuropoka tu kufurahisha chama chako cha Magamba.Kwanza zoezi lenyewe lilifanywa bila kujulisha ngazi zote isitoshe hao unaowasema wahuni ni wavuja jasho ni maskini wanaotafuta riziki zao wakati huo huo chama cha MAGAMBA kinatumia askari ambao wanalipwa na kodi za walala hoi kuwaua na kuwajeruhi kwa risasi za moto huu ni uhaini namba moja unaofanywa na chama chako cha MAGAMBA.
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  hebu tuambie majina ya hiyo misikiti iliyochomwa....
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,125
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Wewe umetumwa.
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,486
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  unyonge wetu waislam wa tanzania na kuikumbatia ccm utatufanya mpaka wake zetu waondolewe ushungi na baibui!hatuna umoja,chombo madhubuti cha kuratibu maendeleo ya kijamii na kusimamia maslahi ya waislam
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,201
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hivi hii sumu ya kulalamika tuu waislamu ilitoka wapi??ni lini itakoma??yan mnajishusha sana,kwaio nyie mko inferior kwa wakristo?
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  acha kukurupuka mkuu
   
 8. S

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tanzania sio wote waliobahatika kwenda shule ila wachache waliobahatika miongoni mwao wanawamezesha sumu kundi kubwa la watanzania ila kumbuke kauli zenu za kuropoka ipo siku mtazilipia pindi sumu hii mnayoieneza kwa watanzania. Mlianza na CUF ila mmeamua kuihamishia kwa CHADEMA. Ila kumbukeni watanzania ni wamoja na hatuta baguana kwa dini wala kabila.
   
 9. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 736
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  acheni udini kuna mambo mengi sn ya kujadili wtz
   
 10. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwanza ni jiji la wakiristo hatuiitaji misikiti kama ilivyo kwa makanisa huko kwenu zanzibar na pemba
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nikikumbuka ule mtaa wa makoroboi kuna Lile temple la wahindu na msikiti ule mdogo karibu na sokoni.(hizo ni kumbukumbu zangu za miaka 16 iliyopita)

  Nafikiri tuondoe fikra za udini hapo bali tuiache sheria ichukue mkondo wake.

  Kuwa na subra kama ilivyofaradhishwa.
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,188
  Likes Received: 4,542
  Trophy Points: 280
  Ebu rudia tena hayo maneno yako? Unaijua Mwanza au unaropoka tu, unadhani Mwanza kama Kibosho? Eti mwanza jiji la Wakiristo
   
 13. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  What an asinine remark from a dunderhead!
   
 14. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kuna watu humu jf wameshavuka kiwango cha kufikiri kwa tumbo na sasa wamefikia stage ya kufikiri kwa ******.mmojawapo ni muanzisha mada.
   
 15. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,857
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwanza hii thread imeanzishwa na mpumbavuu kutoka ccm ili autumie Uislam wetu kama kinga ya Maovu wanayoyafanya Dhidi ya Dini Yetu ya Kiislam na Uislam Wenyewe. . . . UPUMBAVU WENU CCM ni mauti Yetu Watanzania.
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,742
  Likes Received: 693
  Trophy Points: 280
  Hivi yale maduka yaliyoshambuliwa ni misikiti?, hivi yale magari yaliyoshambuliwa ni misikiti?!: tuwe serious jamani tunapoleta hoja, extraporation za namna hii zinadharirisha misikiti. Eleweni kuwa vita haina macho.
   
 17. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thibitisha kauli yako au ifute kabisa.
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,742
  Likes Received: 693
  Trophy Points: 280
  MODO mbana sioni kitufe cha thanks.
   
 19. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,782
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hiyo habari ni ya ukweli 100 pc. Badhi ya magazeti pia yameripoti jana. Msidahani uchochezi manaoufanya unaishia humu JF peke yake. Haya ni matunda ya mbegu mliyoipanda siku nyingi..subirini backlash !
   
Loading...