Igwe Watanzania.
Si vita kwa sababu, hao wanaoitwa "wahuni" walishashinda kitambo sana.
Madhara waliyowisha kusababisha kwa nchi, hayawezi kurekebishika hata upewe miaka 10.
Wamejikusanyia mafedha kutoka deals za nchi yetu, wameshika vyombo vya dollar, wameweka watu wao kwenye vyombo vya maamuzi, mitandao nyeti.
Wanafanya biashara yoyote, tenq nyingi zikiwa chafu na wanalindwa na kusaidiwa na wazuiaji/walinzi wetu.
Nikupe mfano (ndani ya miaka miwili, nipe habari yoyote ya kukamatwa kwa muuza madawa ya kulevya Tz). Hakuna. Zaidi ya kuchoma mashamba ya bangi.
Wanamchafua yeyote ambae ni kizingiti.
Kifo kwao ni 'kifo' tu.
Ni ma agent wa mikono ya nje.
Wame engineer elimu mbovu Tanzania, kuzalisha mazuzu na mazezeta. Wamefanikiwa.
Kuna mengi vijana wa sasa hawayajui. Hata Polepole peke yake hawawezi.
Hata wenye "mofu" hao unaweza kuta ni mateka.
Hatuwezi kufanya vita na wahuni. Labda iwe kujitoa MUHANGA.
Ushauri wa MALCOM LUMUMBA ufanyiwe kazi.
"It does not need just a cosmetic, it needs a total surgery".