- Thread starter
- #21
Kipi kiboreshwe mkuu?. Sio kwamba tunahitaji vichaa wengi ili ufanyiwe kazi.Ule ushauri, unahitaji kuboreshwa kwa nia njema kama nilivyoshauri.
Kipi kiboreshwe mkuu?. Sio kwamba tunahitaji vichaa wengi ili ufanyiwe kazi.Ule ushauri, unahitaji kuboreshwa kwa nia njema kama nilivyoshauri.
Kasomeni kisa cha Dr. Salim A Salim kuitwa Hizb, mtajua tabia halisi za hao mnaoita wahuni.
Hapa umekosea sana. Juzi tu wamekamata watu 5 waliingiza madawa tani 11 kupitia ICD moja ya Temeke hapo. Kuna wafanyabiashara wa Masaki na Kinondoni.Nikupe mfano (ndani ya miaka miwili, nipe habari yoyote ya kukamatwa kwa muuza madawa ya kulevya Tz). Hakuna. Zaidi ya kuchoma mashamba ya bangi.
Okay wahusika watake good actions resources zitumike kwa wananchi wote, na kuwajengea wa TZ uwezo wa kumiliki uchumi wao wenyewe.Hii ni mbinu yao, ungeona kipande wanachochota, na wanachokufungulia! Wala usingeandika hivi.
Hata uchumi wako uwe vipi, siku ukikuta rasilimali zako, si zako, wewe ni mateka tu ktk nchi yako.
Hakika inasikitisha,tuamke hata sasa wananchi,jinai haifi.Igwe Watanzania.
Si vita kwa sababu, hao wanaoitwa "wahuni" walishashinda kitambo sana.
Madhara waliyowisha kusababisha kwa nchi, hayawezi kurekebishika hata upewe miaka 10.
Wamejikusanyia mafedha kutoka deals za nchi yetu, wameshika vyombo vya dollar, wameweka watu wao kwenye vyombo vya maamuzi, mitandao nyeti.
Wanafanya biashara yoyote, tenq nyingi zikiwa chafu na wanalindwa na kusaidiwa na wazuiaji/walinzi wetu.
Nikupe mfano (ndani ya miaka miwili, nipe habari yoyote ya kukamatwa kwa muuza madawa ya kulevya Tz). Hakuna. Zaidi ya kuchoma mashamba ya bangi.
Wanamchafua yeyote ambae ni kizingiti.
Kifo kwao ni 'kifo' tu.
Ni ma agent wa mikono ya nje.
Wame engineer elimu mbovu Tanzania, kuzalisha mazuzu na mazezeta. Wamefanikiwa.
Kuna mengi vijana wa sasa hawayajui. Hata Polepole peke yake hawawezi.
Hata wenye "mofu" hao unaweza kuta ni mateka.
Hatuwezi kufanya vita na wahuni. Labda iwe kujitoa MUHANGA.
Ushauri wa MALCOM LUMUMBA ufanyiwe kazi.
"It does not need just a cosmetic, it needs a total surgery".
uchawi kwa jina la Mungu wenuEwe Mungu Wetu, Tuma Roho wako, Afanye Upya Uso wa Nchi Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025” (Zaburi 104:30)
Jinga Sana wewe, unaambulia makombo na bado ukiumwa kaswende unaambiwa dawa hospitali hakunaSio kila kitu ni kibaya kwa upande wa wahuni, wahuni wamejitahidi kufungua milango ya kiuchumi
Mkuu ushauri upi amabo, kama hutojali ni tag kwenye huo uzi wa ushauri wa MALCOM LUMUMBAUshauri wa @MALCOM LUMUMBA ufanyiwe kazi
Mkuu ushauri upi amabo, kama hutojali ni tag kwenye huo uzi wa ushauri wa MALCOM LUMUMBA
Hivi huko kwenu hakuna mchawi tumchangie hela awaroge wauane jadi waishe nchi iwe huru hii!?Inasikitisha sana
Wana wqchawiz ndani yao pia..Hivi huko kwenu hakuna mchawi tumchangie hela awaroge wauane jadi waishe nchi iwe huru hii!?