Wahudumu wengine ni Kero.

Wahudumu wengine ni Kero.

Bikinis-Sports-Bar--Grill-waitress-in-bathing-suit-top-serving-guys-at-bar_122138.jpg
 
Huyo mwanamume wako unayekuwaga naye bar pengine anawagegeda, sasa wewe ukuja naye unaonekana mvamizi..........

Siyo iwe ni lazima kuwa uliyenaye mnamahusiano n ndugu ila kinachoangaliwa ni kwamba mwanaume ameambatana na mwanamke basi mbakuwa maadui.
 
Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.

Mnatukomalia tukitoa tip. wahudumu wanalijua hilo ndo maana wanakosa motisha.

cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kina dada huwa wanaleta mambo ya nyumbani hadi Bar, utasikia Junior hana viatu!! Unadhani chenji itaachwa hapo?!?!
 
Wahudumu wengi ndo zao hata kama hakujui ukiingia na dem tu bar utaita hadi sauti ikauke! Wanajua fika kabisa leo ofa hakuna hata kutaniwataniwa hakupo! Paka kaingia panya hapakaliki
 
unlike charges attracts while like charges repel each other mkuu.
 
Kinachonikera sana kutoka kwa hawa ni kuvaa sare kama za wanafunzi..!
 
Kwa7bu wengi wao huwa wanaogopa kusababisha ugomvi cunajua chamtu ndg!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom