Wahudumu wa gesti kufua nguo za wateja

Wahudumu wa gesti kufua nguo za wateja

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Niko nyumba ya wageni(gest house) na siku mbili leo ,Hivi wakuu naombeni kuuliza wahudumu wa gesti wanaruhusiwa kufua nguo za wateja wao bila ridhaa yao, nimeshangaa kuona nguo zangu niliweka kwenye kiti zimefuriwa. Hivi hii imekaaje wakuu ?ni mara yangu ya kwanza kuyakuta haya.
 
sio mwenyeji wa maeneo hayo,ngoja waje
 
kuna mifuko maalumu ambayo ukiweka nguo humo basi wahudumu huzifua na bill yako utaikuta mapokezi sijui ulitumia mifuko hiyo?
Vyenginevyo hairuhusiwi kufua nguo za mteja bila ombi lake,
Kama wewe ni mdada basi jihadhari kuna kitu kinaendelea hapo

mi mwanaume na wahudumu ni wanawake.
 
hawaruhusiwi mpaka uwaambie, ila huwa wanajidai kuwajali wageni hasa wakiume kwa kuwafulia na kunyoosha bila ridhaa yao ili wapate hela. Unajua kwann? bse wanaume wengi hawawezi kukomaa kwa wadada wakidaiwa hela. Nina hakika ww ni me ndo maana wamefanya hivyo. Kwa ke thubutuuuu.
 
Kama hiyo Guest House iko Tanga angalia usije ukahamia barabara ya 7.. Huko wanaweza kufua nguo zote wakakuachia kanga tu ya kujifunga kiunoni..
 
Shtuka usingoje coment zikufundishe au kukusemea
Hiyo Tanga na Tanga si la jahazi wala ngalawa bali jiji la gusa unase
 
kuna mifuko maalumu ambayo ukiweka nguo humo basi wahudumu huzifua na bill yako utaikuta mapokezi sijui ulitumia mifuko hiyo?
Vyenginevyo hairuhusiwi kufua nguo za mteja bila ombi lake,
Kama wewe ni mdada basi jihadhari kuna kitu kinaendelea hapo

Hii ni kwenye mahoteli makubwa tu mkuu, mifuko kwenye guest za uswazi? Sidhani.

Hawaruhusiwi kufua nguo bila ridhaa yako, je kama kulikuwa na vitu mfukoni ukidai vimepotea? Je kama nguo zako huwa zinachuja na hupendi zifuliwe mara kwa mara?

Wana lao jambo hao si bure
 
Kweli Mkuu kwenye hoteli kubwa nakubaliana na wewe
Hii ni kwenye mahoteli makubwa tu mkuu, mifuko kwenye guest za uswazi? Sidhani.

Hawaruhusiwi kufua nguo bila ridhaa yako, je kama kulikuwa na vitu mfukoni ukidai vimepotea? Je kama nguo zako huwa zinachuja na hupendi zifuliwe mara kwa mara?

Wana lao jambo hao si bure
 
kwenye hii guest house yetu ukiacha nguo kwenye kiti maana yake zifuliwe!hukusoma terms and conditions!
 
sehemu zingine ukitupa nguo chini wanajua wanatakiwa kufua.

Kama hutaki zifuliwe weka kabatini au kwenye sanduku lako.
 
Shtuka usingoje coment zikufundishe au kukusemea
Hiyo Tanga na Tanga si la jahazi wala ngalawa bali jiji la gusa unase

mkuu kama ulikuwepo niko mji wa watu huku Tanga nipe stori zaidi kuhusu hii Tanga nimeshangaa mpaka napata wasiwasi.
 
sehemu zingine ukitupa nguo chini wanajua wanatakiwa kufua.

Kama hutaki zifuliwe weka kabatini au kwenye sanduku lako.

lakini kongosho inanipa tabu kwa nini afue bila zidhaa yangu , na ingetokea naondoka siku hiyo ningefanyeje na sijaona tangazo lolote wanaloeleza kuhusu suala ili.
 
ulipaswa uziweke kabatin si kwenye kiti....ndo maana umewamix
 
mkuu kama ulikuwepo niko mji wa watu huku Tanga nipe stori zaidi kuhusu hii Tanga nimeshangaa mpaka napata wasiwasi.

Nilipangiwa kuja Tanga kama mtumishi wa idara fulani..Zaidi nitakutumia ujumbe maana shemeggi yako uwa anapitia nilichoandika:tape2:
 
Dem akitaka kuliwa lazma kuna mikao/pose huweka. Hahitaj kukwambia kwa maneno... Na wewe inategemea hizo nguo uliziweka katika mkao gan!
 
Back
Top Bottom