Wahudumu wa bar ya River road Picha ya Ndege Kibaha

Wahudumu wa bar ya River road Picha ya Ndege Kibaha

Usoka.one

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
770
Reaction score
374
Mimi nafanya kazi zangu mara kwa mara Kibaha.

Kuna bar moja inaitwa River road napenda kupita nipate angalau soda niendelee na mambo mengine! Cha kushangaza hii bar sasa hivi ina wahudumu jeuri kupindukia ukihitaji kinywaji cha moto wanakujibu hamna kama vile unaomba wakati soda 1000.

Ukiwaambia waweke kwenye maji wanachemsha kabisa ili kukukomoa mteja! Kwa ujumla mwenye bar kama hatakuwa makini itakula kwake!!
 
Haina lolote. njoo container uhudumiwe huku unachezewa uumme wako. raha mustarehe
 
Haina lolote. njoo container uhudumiwe huku unachezewa uumme wako. raha mustarehe
Mmh wahudumu wenu ni walewale tu!!ukihitaji hata soda ya moto wanakuangalia kama mgambo wa Dafur!!Huku wakinadi makalio yao kama hawa wa River road ni maja too much
 
Hiyo huduma ya kuchezewa naniliu ni kuanzia saa ngapi!
 
Container ni makelele tu hamna lolote, Kibaha bado sana kwa viwanja vya kupumzika.

Kuna kiwanja kinaitwa KITESHE darajani karibu na mizani. safi sana kwa utulivu na wanaochepuka. hakionekani barabarani ila kuna kibao pale daraja la kutenganisha mikoa. elfu ishirini na tano wanakukabithi nyumba yako ujue mwenyewe kuanzia sitting room hadi. you guessed it right.
 
Kiteshe Lodge, pale ukiingia na mchepuko hukamatwi.
 
Kuanzia saa nne wale wanywaji wa msimu wakishalewa na kuondoka. tunapobaki DDO s Daily drinking officers. mambo yanaanza. si unajua wengi wa DDO s ni wazee lazima wapate speedi ndio waende kwa wake zao.

Duuh ddos hii imetulia.
 
Haina lolote. njoo container uhudumiwe huku unachezewa uumme wako. raha mustarehe

bategereza hakuna mada inayohusu pombe au bar halafu nikakosa kukuona.
Inaonesha wewe ni mmoja wa wachangiaji wazuri wa uchumi wa tz kupitia haya mambo.
 
Last edited by a moderator:
bategereza hakuna mada inayohusu pombe au bar halafu nikakosa kukuona.
Inaonesha wewe ni mmoja wa wachangiaji wazuri wa uchumi wa tz kupitia haya mambo.

Watu mnafuatilia nyendo za watu ? Sisi kwetu kunywa ni kutimiza wajibu wa kimila kama vile nyie wapangwa na uchawi au wazaramo na majungu au wakurya na ugomvi au waha na uchawi au wagogo na uchafu au wangoni na nanihiiii...m
 
Last edited by a moderator:
Yes I always say. Let us make a decision and stick to it. Tuache unafiki, visingizio, havina maana, kama KWELI tunataka kujenga polisi, kinachoshindikana nini?
Mie hata sielewi!!
Nashangaa kila siku,
Hivi jamani tunamdanganya nani?
Watu wazima hovyoooo!!!!

Thx for a good news
 
hao ndo walivyo huku wanakula shilingi hamsini au mia kwa chupa lkn wanavyohisikia ni noma . jeuri yao sometym inatokana na nyie mnaowagegeda qkishajua leo anapata 20 baaasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom