Wahudumu wa Bar wanahitajika

Wahudumu wa Bar wanahitajika

Lubengera

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
1,073
Reaction score
1,708
Wanatafutwa wahudumu 4 wa Bar iliyoko Kigoma Mjini!
Sifa za muhudumu!
,1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja
2. Awe na juhudi katika kazi
3. Awe tayar kuishi katika hostel ya mmiliki wa bar kuepusha usumbufu
4. Awe anatokea mkoa wowote ndani ya tanzania
5. Usafiri mpaka kigoma itakuwa juu ya mmiliki wa bar!
6. Awe tayar kufuata mkataba/mikataba na ikiwezekana kuiwasilisha katika ngazi za serikali kwa ajili ya usimamizi wa kisheria
7. Awe tayar kuwasiliana na kutoa taarifa zake kama picha na kiasi cha mshahara atakacho hitaji

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0762298230.

Wanahitajika haraka iwezekanavyo, na kwa yeyote anaye faham pia wanapopatikana anaweza wasiliana kwa namba hiyo ili kufanya utaratibu wa kuwapata au kuwafikia kwa makubaliano zaidi
Ahsanteni
 
Wahudumu wa baa siku hzi wanakuwa na sifa zinazofanana naona umesahau kuandika awe na CHURA, ili mkiwavalisha vile vinguo vifupi wateja wajae wa kutosha
Mkuu tunazingatia usawa! hatubagui!
 
Mkuu tunazingatia usawa! hatubagui!
Mie naona bar nyingi kweli wanafanya hivyo
Kuna bar nyingine mlevi akimpenda muhudumu anampa hela manager alafu anaishia nae
Kama kweli hamfanyi hivyo basi inapendeza sana
Na kutangaza nafasi za kazi hapa ni jambo zuri kwa wanaotaka hiyo fursa

Ila hujasema hapo unataka wahudumu wa kike au na wa kiume pia. Au usawa unaozungumzia ni wa jinsia yeyote ile
 
Mkuu tunataka wa kike tu, asante sana kwa kunikumbusha!!
 
Iyo bar itakuwa ya msanii Diamond nini,
 
Nam
Wanatafutwa wahudumu 4 wa Bar iliyoko Kigoma Mjini!
Sifa za muhudumu!
,1. Awe na Lugha nzuri kwa Wateja
2. Awe na juhudi katika kazi
3. Awe tayar kuishi katika hostel ya mmiliki wa bar kuepusha usumbufu
4. Awe anatokea mkoa wowote ndani ya tanzania
5. Usafiri mpaka kigoma itakuwa juu ya mmiliki wa bar!
6. Awe tayar kufuata mkataba/mikataba na ikiwezekana kuiwasilisha katika ngazi za serikali kwa ajili ya usimamizi wa kisheria
7. Awe tayar kuwasiliana na kutoa taarifa zake kama picha na kiasi cha mshahara atakacho hitaji

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 0762298230.

Wanahitajika haraka iwezekanavyo, na kwa yeyote anaye faham pia wanapopatikana anaweza wasiliana kwa namba hiyo ili kufanya utaratibu wa kuwapata au kuwafikia kwa makubaliano zaidi
Ahsanteni
Pa nampa namba hii sister wangu atawapigia ajielezee mwenyew mtaelewana
 
Wale wakiume mkuu vipi,hawa ni wale wa kiume ki mwonekano tu ila ni chakula pendwa kabisa,siku izi wanapenda kukaa mle kaunta,nafasi zipo?
images%20(4).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom