Wahudumu wa bar kweli njaa kali

Wahudumu wa bar kweli njaa kali

Inaonekana mzee siku ukikaa na washkaji ukiwapiga hata round 4 utaenda kuwatangazia wote kwa wake zao kwamba we ni boss jana ulisimamia show sasa buku 3 si hela ya Heineken 1 tu mzee
2355213__20200401_141337.jpg

[emoji16][emoji16][emoji16] sio ivo mkuu


iPhone 6s plus
 
wahudumu wa baa ukitaka kuwala unaweza wala hata kama wako kumi,uzuri wao hawana wivu,hata kiogo wako kibiashara zaidi.
 
Wiki mbili zilizopita nimefika mwanza nimetulia zangu kwa ndugu the whole day nawatch tv tuu, imefika jion nikaona sio kesi kutoka at least nikapige ata Serengeti zangu 6 ili nikirud nipige usingizi muruaaa, faster nikatoka piga kona mbili tatu mara bar io apo nikaingia faster namuita muhudumu kaja kwa tabasamu telee kunisikiliza, baada ya salamu nikamuomba aniletee Serengeti ya bariiid kabisa .

Bila hiyana mtoto kaleta nikaanza kula monde uku nikiburudika na mziki mtam wa Fally ipupa “ associ’e” basi bwana mdada mda wote ananiangalia mimi kila mda atajipitisha mara bia ipo nusu aje atikise kama imeisha yan taflan mimi namuangalia tuu.

Baada ya kuona nimejaza mafuta yakutosha nikamuita nikampa hela ili anirudishie chenji, akaelekea kaunta huku nyuma akinilingishia Mungu alichomjalia, sekunde kadhaa kaja na chenji yangu yan ananipa kama hatak sijui alitaka nimuachie me nikachukua changu nikasepa.

Leo nikasema ngoja nirudi tena kupiga monde pale coz nilipapenda wanapiga nyimbo za Kikongo namimi ndo ulevi wangu hasa nikiwa nakula vyombo, basi bwana nimefika nikamkuta yule yule muhudum faster kabikaribisha na bashasha tele nikamuagiza vinywaji kama kawa, nimekula monde to the maximum nikamuita nimlipe basi ile nampa hela akaanza oo samahan kaka naomba uninunulia chips toka asubuhi sijala, i was like what?

Nikamwambia ok kalete chenji kwanza basi kaondoka anatingishia nyama balaa, karud kanipa chenji nikatoa buku 3 nikampa kashukuru kama nimempa figo.

Basi apa natype nipo nawaza sijui nimle ili nirudishe buku tatu langu ama nikaushe, in short wanaboa sana awa bar maids. STAY SAFE CORONA INAUA.
nimependa ulivyomalizia mnawishe na sanitizer then mle,
 
Ukimla hurudishi buku 3 yako bali utaongeza kiasi cha pesa kumpa tena.
Sijui mahesabu gani uliyopiga.
akimla atatoboka zaidi yaani amnunulie chakula mtungi na posho yake na ela ya rum shubamit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom