Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
unafunguaje uzi bila picha mkuu
Hata we mwenyewe njaa tu unafikia kwa ndugu afu buku 3 tu unataka aitumikie?
Na ujue hata kama utamla sio buku 3 tena ni zaidi ya hiyo
Tenda wema nenda zako usingoje malipo. mhudumu wa bar pole sana!
Ni kweli ila angekausha tu.
Fala kweli hilo jamaa haahahHata we mwenyewe njaa tu unafikia kwa ndugu afu buku 3 tu unataka aitumikie?
Na ujue hata kama utamla sio buku 3 tena ni zaidi ya hiyo
Tenda wema nenda zako usingoje malipo. mhudumu wa bar pole sana!
Usipomla atahisi umemdharauWiki mbili zilizopita nimefika mwanza nimetulia zangu kwa ndugu the whole day nawatch tv tuu, imefika jion nikaona sio kesi kutoka at least nikapige ata Serengeti zangu 6 ili nikirud nipige usingizi muruaaa, faster nikatoka piga kona mbili tatu mara bar io apo nikaingia faster namuita muhudumu kaja kwa tabasamu telee kunisikiliza, baada ya salamu nikamuomba aniletee Serengeti ya bariiid kabisa .
Bila hiyana mtoto kaleta nikaanza kula monde uku nikiburudika na mziki mtam wa Fally ipupa “ associ’e” basi bwana mdada mda wote ananiangalia mimi kila mda atajipitisha mara bia ipo nusu aje atikise kama imeisha yan taflan mimi namuangalia tuu.
Baada ya kuona nimejaza mafuta yakutosha nikamuita nikampa hela ili anirudishie chenji, akaelekea kaunta huku nyuma akinilingishia Mungu alichomjalia, sekunde kadhaa kaja na chenji yangu yan ananipa kama hatak sijui alitaka nimuachie me nikachukua changu nikasepa.
Leo nikasema ngoja nirudi tena kupiga monde pale coz nilipapenda wanapiga nyimbo za Kikongo namimi ndo ulevi wangu hasa nikiwa nakula vyombo, basi bwana nimefika nikamkuta yule yule muhudum faster kabikaribisha na bashasha tele nikamuagiza vinywaji kama kawa, nimekula monde to the maximum nikamuita nimlipe basi ile nampa hela akaanza oo samahan kaka naomba uninunulia chips toka asubuhi sijala, i was like what?
Nikamwambia ok kalete chenji kwanza basi kaondoka anatingishia nyama balaa, karud kanipa chenji nikatoa buku 3 nikampa kashukuru kama nimempa figo.
Basi apa natype nipo nawaza sijui nimle ili nirudishe buku tatu langu ama nikaushe, in short wanaboa sana awa bar maids. STAY SAFE CORONA INAUA.
Wasukuma wa Misungwi bhana..
njaa + njaa = umaskini..........3,000/- unaanzishia uzi....umjidhalilisha mkuu!!!
Ni kweli ila angekausha tu.
Au angemla kabisa.
Inabidi huyo ndugu yake naye amle kulipia anavyomtunza!
kiduku lilo nipo naye hapa amesoma huu uzi machozi yanambubujika mithili ya maporomoko ya bwawa la nyerere, anajipiga makofi kifuani analalamika iweje buku 3 ikufanye utake kumla dada wa watu anaumia kuona watanzania wenzake mna umasikini kiasi hiko
Sent using Jamii Forums mobile app
kiduku lilo nipo naye hapa amesoma huu uzi machozi yanambubujika mithili ya maporomoko ya bwawa la nyerere, anajipiga makofi kifuani analalamika iweje buku 3 ikufanye utake kumla dada wa watu anaumia kuona watanzania wenzake mna umasikini kiasi hiko
Huyo Kidulilo mwambie na yeye boya tu.... Korona yote hii kapiga kimya.... ameshindwa kujibu mapigo kwa Jack Ma.... japo hata kwa wilaya 1 basi kama hawezi Mkoa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa hivi uliacha elfu tatu au elfu kumi na tatu???Kama ni elfu tatu kwa mtu kama ana njaa hiyo si ya chipsi mayai au wali nyama tu na hata maji hanywi???Inaonekana nawe pia una njaa bana sio kwa kuianzishia uzi elfu tatu na ndio eti umuwazie mtu kutoka nae!!! elfu tatu…..elfu tatu…...elfu tatu
hahah[emoji16][emoji16]..."afu"tatuUmeliwa bwashee, ‘afu’ tatu usawa huu..!!