Wahudumu wa bar kweli njaa kali

Wahudumu wa bar kweli njaa kali

bia mbili izo mkuu


iPhone 6s plus
yes ni tubia tuwili.....bora angenywea.........huwezi nunulia mtu hata 5 biere?? so kumpa somebody 3,000/- then fasta JF unaanzisha uzi....kwanza unaweza kuwa umeokoa maisha ya katoto kake ambako toka kuche kanacheua maji tuu....
 
kiduku lilo nipo naye hapa amesoma huu uzi machozi yanambubujika mithili ya maporomoko ya bwawa la nyerere, anajipiga makofi kifuani analalamika iweje buku 3 ikufanye utake kumla dada wa watu anaumia kuona watanzania wenzake mna umasikini kiasi hiko


Sent using Jamii Forums mobile app

Uyo nae njaa tuu


iPhone 6s plus
 
Wiki mbili zilizopita nimefika mwanza nimetulia zangu kwa ndugu the whole day nawatch tv tuu, imefika jion nikaona sio kesi kutoka at least nikapige ata Serengeti zangu 6 ili nikirud nipige usingizi muruaaa, faster nikatoka piga kona mbili tatu mara bar io apo nikaingia faster namuita muhudumu kaja kwa tabasamu telee kunisikiliza, baada ya salamu nikamuomba aniletee Serengeti ya bariiid kabisa .

Bila hiyana mtoto kaleta nikaanza kula monde uku nikiburudika na mziki mtam wa Fally ipupa “ associ’e” basi bwana mdada mda wote ananiangalia mimi kila mda atajipitisha mara bia ipo nusu aje atikise kama imeisha yan taflan mimi namuangalia tuu.

Baada ya kuona nimejaza mafuta yakutosha nikamuita nikampa hela ili anirudishie chenji, akaelekea kaunta huku nyuma akinilingishia Mungu alichomjalia, sekunde kadhaa kaja na chenji yangu yan ananipa kama hatak sijui alitaka nimuachie me nikachukua changu nikasepa.

Leo nikasema ngoja nirudi tena kupiga monde pale coz nilipapenda wanapiga nyimbo za Kikongo namimi ndo ulevi wangu hasa nikiwa nakula vyombo, basi bwana nimefika nikamkuta yule yule muhudum faster kabikaribisha na bashasha tele nikamuagiza vinywaji kama kawa, nimekula monde to the maximum nikamuita nimlipe basi ile nampa hela akaanza oo samahan kaka naomba uninunulia chips toka asubuhi sijala, i was like what?

Nikamwambia ok kalete chenji kwanza basi kaondoka anatingishia nyama balaa, karud kanipa chenji nikatoa buku 3 nikampa kashukuru kama nimempa figo.

Basi apa natype nipo nawaza sijui nimle ili nirudishe buku tatu langu ama nikaushe, in short wanaboa sana awa bar maids. STAY SAFE CORONA INAUA.
Kama chura ipo mwanawane wee mgegede ndicho anachotaka
 
yes ni tubia tuwili.....bora angenywea.........huwezi nunulia mtu hata 5 biere?? so kumpa somebody 3,000/- then fasta JF unaanzisha uzi....kwanza unaweza kuwa umeokoa maisha ya katoto kake ambako toka kuche kanacheua maji tuu....

[emoji106]


iPhone 6s plus
 
Mkuu buku tatu tu unatoa macho kiasi hicho
 
Dah asee ila me napita tuu mzee sijaja kutunzwa, ninamishe zangu dsm ningefikia lodge sema wangemind ndugu

iPhone 6s plus

Nimekuelewa, ila 3,000/- tena ambayo mtu ameiomba ili anunue chakula si ya kuiwazia kama ulivyowaza.

I know inaweza kuwa joke, which is okay. Ila kama siyo joke siyo powa.
 
Inaonekana mzee siku ukikaa na washkaji ukiwapiga hata round 4 utaenda kuwatangazia wote kwa wake zao kwamba we ni boss jana ulisimamia show sasa buku 3 si hela ya Heineken 1 tu mzee
2355213__20200401_141337.jpg
 

Attachments

  • _20200401_141337.JPG
    _20200401_141337.JPG
    18.9 KB · Views: 14
Hata we mwenyewe njaa tu unafikia kwa ndugu afu buku 3 tu unataka aitumikie?
Na ujue hata kama utamla sio buku 3 tena ni zaidi ya hiyo
Tenda wema nenda zako usingoje malipo. mhudumu wa bar pole sana!
Hawa ndio hawajui maana ya tip ndio maana wahudumu wanawaona kama mazimwi. Sikia ukihudumiwa jitahidi kutoa tip tena wahudumu wa baa ukiwa mkarimu watakupa taarifa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utakamilisha njoo ongeza mrejesho hapa.
Usilete kule kwenye uzi wa kimasihara maana itakuwa ni kujaza uzi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom