Jangwani girls wanasoma akina nani ?Naomba kwanza kujua maana naona mnaitana tu shogaangu shogaangu naomba kujua nyinyi ni wanawake?halafu ndo changie hii maada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nmesoma UD masters ila nakuhakikishia wanafunzi wa pale vilaza hakuna mchezo.
Alipata wapi ujasiri wa kuongea maneno yale kama sio zarau na sio huyu tu wapo wengi tu waliopitia hapo mlimani wana tabia hii ya kuzarau wengineHivi mpaka leo kuna mambo ya kutambiana kuhusu vyuo....Yani naona chuo ni sehemu ya kupanua tu akili lakini kiuchumi unatakiwa uwe na akili za ziada sio eti una GPA ya ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halali akudharau haiwezekani shoga yako mmoja tu tena aliyesomea jangwani awakilishe jamii nzima Iliyosomea UDSM.Hii imetokea this week kuna shoga yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advanve mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM
mimi baada ya kumaliza Olevel nikaenda kusomea course fupi fupi tofauti za mashine Opreratots, pale Bandari college nkasomea, Fork lift operator,Richstracker operator, na SSG Operator then baada ya hapo kuna ndugu yangu akaniconect na chuo kimoja kipo South Africa nkaenda kusomea Crane operator, then baada ya hapo nkala shavu kampuni moja ya wazungu hapa tz kama crane operator
Sasa huyu shoga yangu last week akanikuta site moja hivi nlikuwa nashusha heavy equipments, yeye alikuja kama mkaguzi yeye ameajiriwa Goverment, baada ya kuniona akacheka kinafki alafu kilichoniskitisha ni pale aliponiambia kuwa shoga yangu laiti ungesoma usingekuwa unateseka na michuma mda huu
Ikanibidi nicheke kwanza nikajiuliza huyu mtu amepata wapi huo ujasiri maana yeye ana bachelor na mimi nna vyeti vya kawaida tu, lakini hata mshahara wangu sijui kama ananipita maana mimi naoperate Crane ya 90tons (90,000kg)
View attachment 846107
Na basic salary yangu ya kuoperate hii crane ni 2.8 million/month hapo bado overtime na nyongeza nyingine lazima niondoke na 3.0m hadi 3.5m kwa mwezi na nna mkataba wa kudumu kabisa
Sasa huyu shogaangu sijui analipwa sh ngapi hadi kunizarau vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Udsm ni zaid ya kwazulu natal wacha ukabulu wa kifikra.umekosa udsm kwakuwa ni kilaz.a butu.Mtu kusoma udsm to nongwa!!,,angesoma kwazulu natal si angeitisha press conference kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
ThanxDa Mallia hongera kwanza ,Pili piga kazi ,sikujui hunijui,nimependa bandiko lako ,nasema piga kazi achana nae huyo
101-03-821.M|T|C
BHDuuuuh wanawake sijui tukoje. Kwanini mtu usiishi maisha yako bila kinyongo, majigambo wala kujivuna???
Mi kila siku nawaambia watu mafanikio yana njia tofauti wengine zao ndefu na misukosuko wengine zao fupi na hazina tabu.
Mi sioni kama degree au jina la chuo lina determine mafanikio yako mbeleni. Chuo mtu unaenda tu kupanua mawazo na kupata exposure ila linapokuja suala la kazi au ajira Chuo /Vyeti havina role kubwa kihiiivyo.
Kama unamafanikio maishani be humble na ushukuru Mungu hapo alipokuweka kuna walomaliza na first class vyuoni tulikua tunawaogopa ila bado wanasugua benchi kitaa na kuna ambao tuliwaacha kitaa tukaenda Chuo sasa wametusua maisha hadi unaona chuo ulipoteza muda.
Mimi kiukweli maishani na struggle kua bora kuliko nilivyokua jana, kwa kujituma, kujiamini na ku omba Mungu. Ila sio kwa kumuonea wivu mwenzangu.... we will all get there it's only matter of time coz our paths are just different.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutakia kila la kheri ktk kazi yako
Amejuaje kuwa hana pesa.Nawew pia unadharau....yy anakudharau kisa hujasoma na wew unamdharau kisa hana pesa wew,kwahyo katika nyote nyie dharau zimewajaa
Sent using Jamii Forums mobile app