Shule yako haijakufuta tongo tongo we we mtoa hoja. Sina tatizo na wahitimu wa Tanzania hata kidogo. wameandaliwa hivyo na iko hivyo siku zote. tofauti no kwamba babu alikuwa na familia ya MTU mmoja na mtoto ana familia ya Watu 2000 kwa mfumo ule ule wa elimu. Wape muda wa kidogo uone kama awafanyi kazi na hawaakiriki. acha kukurupika pembua kwanza. unataka form four wa kenya aje kufanya kaxi ya mtanzania?
Acha kutoa povu kwa mihemuko ....it is a fact kwamba vijana wetu hawandaliwi vizuri.Lakini kibaya zaidi hawajiongezi.Una kuta msomi mzima na degree yake hajasoma kitabu hata kimoja kwa muda wa miaka minne....kazi yake ni kusoma magazeti ya Shigongo na kushinda Instagram na FB......mtu kama huyo atapata wapi writing and communication skills?Watanzania hatuna culture ya kujisomea.Nakumbuka kipindi cha Zain University Challange tulikuwa tunapigwa sana bao na Wanafunzi wa Kenya na Uganda...tena kwa general knowledge questions tu...
There are several facts here:
1:Waajiri wakubwa siku hizi hapa nchini ni makampuni kutoka nje....either ni Barrick,Tigo,Airtel,TBL,ABSA,KPMG...au NGOs kama RTI,Cambridge Education,Room to Read etc...they don't take half-baked graduates!THAT IS A FACT!
2;Uvivu wa kujisomea utaliangamiza taifa....unakutana na graduate ambaeye hawezi kabisa ku-communicate...sasa atafanyaje kazi in a multicultural set-up?Infact hata hiyo kazi anaipataje in the first place?Maarifa mengi sana yamefichwa kwenye vitabu...and we don't read!
3.One of the most common Question in interviews siku hizi ni " Which book are you currently reading?" especially ukiingia kwenye interview yenye wazungu ktk panel.....why? labda wameshajua hatusomi kabisaa...
4;Tusitetee graduates wetu...dunia inakwenda kasi sana...lakini sisi tumelala tu!Katika dunia ya leo kuongea na kuandika Kiingereza vizuri sio option...ni lazima!Mpaka wafaransa ambao ni very proud na lugha yao wamebadilika.Baadhi ya vyuo vyao vikubwa sana Ufaransa, Thesis zinaandikwa kwa kiingereza.Sasa hivi tumekuja na sera ya mpya ya Elimu kutumia Kiswahili kuanzia std 1 MPAKA chuo kikuu...TUMEKWISHA!