Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,737
Reaction score
2,402
Nilikuwa kwenye ukurasa mmoja tunajadiliana hatua ya bunge la Tanzania kupitisha sera inayotia ugumu kwa waajiri kuajiri watu kutoka nje ya Tanzania. Katika majadiliano baadhi ya waajiri wakawa wanatoa misimamo yao, wengi walionesha kutokuwa na imani na wahitimu wa vyuo kutoka Tanzania. Hakika points wanazosimamia ni za ukweli, wahitimu wengi wanaakisi sura ya mazao duni vyuoni mwetu.

======================
======================

may alikua yupo internet cafe alikuwa amelipia mda mchache na yeye sio mzuri sana katika matumizi ya computer, so akahofu akiandika na maelezo mda utaisha hajamaliza kutuma, Akaamia kutuma tu. Am sorry
 
Those are excuses always
 
Shule yako haijakufuta tongo tongo we we mtoa hoja. Sina tatizo na wahitimu wa Tanzania hata kidogo. wameandaliwa hivyo na iko hivyo siku zote. tofauti no kwamba babu alikuwa na familia ya MTU mmoja na mtoto ana familia ya Watu 2000 kwa mfumo ule ule wa elimu. Wape muda wa kidogo uone kama awafanyi kazi na hawaakiriki. acha kukurupika pembua kwanza. unataka form four wa kenya aje kufanya kaxi ya mtanzania?
 
may alikua yupo internet cafe alikuwa amelipia mda mchache na yeye sio mzuri sana katika matumizi ya computer, so akahofu akiandika na maelezo mda utaisha hajamaliza kutuma, Akaamia kutuma tu. Am sorry

I don't support hiyo heading ya mtoa hoja but such kind of excuses you're giving in here are mainly comes from losers, irresponsible and some dumbass.
 
Hivyo ndivyo uaminivyo na si kuwa umesoma kuyatamka hayo, elim yamtu haimtumi kutamka hayo, shule fulani sikigezo cha kumtoa mtu tongotongo wapo wenye upeo mkubwa wa elim lakin hawajasomea shule uijuayo wewe
 
Hayo maneno tanamfaa sana mtoa hoja, kanichefua sana maana alivyoandika anajiweka yuko juu sana. naomba radhi kwa maneno makali. let look forward to change our education system and build strong nationality.
 
mmoja alinionyesha barua yake ya kuomba kazi nikamuonea huruma, nilijiuliza hiyo degree katolewa wapi hata format ya kuandika barua hajui.. Kuna basic skills ambazo ni a must mtu kua nazo, very basic qualities ambazo ilitakiwa kila mtu azionyeshe, mtu anatuma barua ya kuomba kazi anaandika tu ka story kafupi na matatizo aliyo nayo kwao, utadhani wewe kwenu ndo matatizo hakuna. Siwezi laumu wabongo wote though, najua kuna very good talents out there sema ni za kuhesabu.
 
may alikua yupo internet cafe alikuwa amelipia mda mchache na yeye sio mzuri sana katika matumizi ya computer, so akahofu akiandika na maelezo mda utaisha hajamaliza kutuma, Akaamia kutuma tu. Am sorry

Uko serious au umeamua kutania?
Hilo linamhusu nini mwajiri?!!
 
Corse ya kuandika barua alimaarufu communication skills vyuo ving huwa inafundishwa semista moja tuu ya mwaka wa kwanza na mtu unakuta anamiaka mitatu au mnne ndo anamalza unadhani atakumbuka kweli kuandika cv au official letter? Sasa change inabidi ianzie vyuoni ikiwezekana ilo somo lisomwe semista zote mwanafunzi awapo chuoni
 
Comprehension ni tatizo pia, maskini wa Mungu! Tuna tatizo sana Tanzania, lakini viburi vyetu vinatufanya tupretend kuwa everything is alright. Kama graduate anashindwa kusoma na kuelewa palagraph kadhaa tu, kweli anaweza kukabidhiwa ofisi na akafanya kazi kwa ufanisi?!
 
Ni ukweli mtupu.

Kuna mmoja ni mdada alituma CV zake ofisini, kwa jinsi alivyoiandaa tukaona tumuite tumfanyie usaili.

Cha ajabu hiyo computer yenyewe hajui programu yoyote ile. Baada ya kumuliza atauambie kipi yeye anachojua kuhusu computer bila aibu akajibu yeye computer anatumiaga kwenye facebook/ ku chati chati, mpaka huruma yani.

Alafu ati ndiyo kamaliza chuo huyo.
 
Kwani lecture notes zake alizitupa au hakuna vitabu vya communication skills,Word program ina templates kibao za barua!!
 
Me naona hilo somo lisomwe semester ya mwisho tu...kwani ndio anajiandaa kuifanyia applications kwenye maisha ya kutafuta kazi
 
Kwanza chuoni hakuna kabisa umuhimu wa kufundishwa jinsi kuandika barua, kwa vile tu imo ndani ya communication skills, na watu huwa wanalichukulia poa tu! Basics za uandishi wa barua ni zilezile kama za primary school, only that graduate anatakiwa na uelewa mpana zaidi na hivyo kuwa na uwezo wa kujieleza vyema kwa mawazo yake huru, utashindwaje kujitambulisha? Utashindwaje kuandika CV, maelezo yako binafsi? Niliwahi kuwa na ofisi ya huduma za uhazili, yaani watu waliokuwa wakimuomba templates za barua na CV mhudumu mpaka unashangaa!
 
Hahahaha, hiyo kali!
 
guys mjue kuna watanzania wako very smart...na pia kuna wakenya na waganda elimu yao ni duni...........msidanganyike sana na kiingereza ........je wana uwezo wa kudeliver kuliko watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…