Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma
watu wana PHD zao namba wanaisoma
namba shufwa wanazisoma
namba witiri namba tasa,
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma
Wewe una degree yako, mchezo utauweza?
Wewe unaka bachelor kako mchezo utauweza?
Mdogo mdogo wangu, mdogo wangu, usiiguse petroleum
Waachie walio igusa waendelee kuisoma namba,
usiiguse petroleum namba utaisoma
Watu wenye one za tatu namba wanaisoma
watu wenye one za nne namba wanaisoma
watu wenye one za tano mamba wanaisoma,.
Ww mwenye two yako utauweza mchezo,
Kusoma namba sio mchezo,
Kawaulize chekechea,
huu ni mwaka wa tano,
kwa watalaam wa petroleum,
Kama na wewe unapenda bac chagua petroleum,
Petroleum unaipenda na namba utaisoma,
Petroleum ni janga usichague petroleum,
Badirisha kozi haraka usisome petroleum,
Ewe kijana wa petroleum uliyepo chuoni,
Weka vzuri hela yako, kusoma namba ni kazi.
Namalzia kwa kusema, petroleum itakuumiza,
Naweka karamu chini nawe achana na petroleum,
Usiiguse petroleum engineering itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum chemisry itakusomesha namba mtaani
Usiiguse Petroleum geology itakusomesha namba mtaani,
Ewe ndugu yangu wa petroleum, kama Mechanical engineering ipo nenda kaisome hiyo, hutojuta.

kila mtu anawaza gesi ya Mtwara tu.