Paroko da travellor
Senior Member
- Oct 16, 2012
- 102
- 101
Ndio maana ukaitwa mkopo mwisho wa siku lazima ulipeHabari wakuu,nmeona wazir ndalichako kamsimamisha kazi kiongozi anayehusika na kukusanya madeni ya mikopo ya wanafunzi waliokopa bodi siku za nyuma!je ni halali wanafunzi kulipa madeni
haaa haaaaaaaa mpigie kassim mkuu...mimi nishalipa lakini kwenye database ya Bodi ya Mikopo inaonyesha sijalipa chochote, hela niliyokuwa nakatwa vigogo wa Bodi ya Mikopo wamejengea Mahekalu MBEZI BEACH , natakiwa nianze upya kulipa upya, wana Jamvi naomba mnisaidie kulipa hilo deni la marudio
Watu hawa ni wajinga, na sioni kwa nini wasitumbuliwe. Asilimia kubwa ya wahitimu vyuoni wako serikalini na wachache wako sekta binafsi.Sababu ni mfumo mbovu tu. Kulipa mkopo wangelipa hazina moja kwa moja na ripoti iwe inatoka kila mwisho wa mwezi kuwa zimekusanywa fedha kiasi gani!
Kigezo sio wenye degree maana kuna watu wenye degree wamesomeshwa na wazazi/walezi wao kwa 100% hawakupata mkopo wowote kutoka HESLB.Watu hawa ni wajinga, na sioni kwa nini wasitumbuliwe. Asilimia kubwa ya wahitimu vyuoni wako serikalini na wachache wako sekta binafsi.
Wanachotaka mtu ajipeleke mwenyewe ili akatwe.
Kwa nini kwa mfano wasianzie kwenye tamisemi kukusanya taarifa za watumishi wenye degree na kuanza kukata? Kwa nini wasifike kila idara kuanzia wilayani kuchukua database ya watumishi kubaini wenye degree?
Uzembe tu na ili kulinda ufisadi eti wamewapa kampuni ndo ikusanye madeni wakati wao wenyewe kazi wangeiweza.
Watumbuliwe tu