Tujitibu kisunna
Member
- Aug 7, 2017
- 44
- 15
Serikali si inapiga vita utumiaji miti kupata moto? Sasa nyinyi vipi tena jamaniTunauza na kusafirisha kuni toka kijiji cha mafumbi pwan had Dar...... Ikiwa wewe n muuzaji wa rejareja tutakuletea mzgo had kwako au kukukodsha lesen yetu ya uvunaji miti ikiwa huna....... Tunawakarbsha shule... Vyuo na sehemu mbalimbali 0712770729 au 0685580057
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii serikali ingesambaza mitungi ya ⛽️ gas kila nyumba ndiyo itoe tamkoSerikali si inapiga vita utumiaji miti kupata moto? Sasa nyinyi vipi tena jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Tanzania au?Hii serikali ingwsambaza mitungi ya️ gas kila nyumba ndiyo itoe tamko
Serikali imekataza watu kuvuna miti illegal ila sisi tuna lesen ya uvunaji miti inayotolewa na Maliasili vi-a Tanzania forest servicé (TFS) na lesen hizi hutolewa kila mwaka kwa wanaoitaji miti ya kibiashara na tunapewa idad maalum ya kuvuna kwa mwakaSerikali si inapiga vita utumiaji miti kupata moto? Sasa nyinyi vipi tena jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei itategemea wew unahtaj toka wap na unahtaj kitu gan kivp??Weken bei zenu hapa
Kuni hizi n za kibiashara si kupikia... Hii inawalenga wafanyabiashara wa kuni wa rejareja au ht mashuleHapa jukwaani warembo wote wanapikia umeme na gas lakini wasubiri inbox mkuu
Lakini mwisho wa siku je hali ikoje majumbani maana watu wanatumia hadharani kuni lakini serikali inapiga vita matumizi kwa kuwadhibiti wauzaji lakini watumiaji wakuu kila siku wanatumiaSerikali si inapiga vita utumiaji miti kupata moto? Sasa nyinyi vipi tena jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama nina shughuli ya harusi?Kuni hizi n za kibiashara si kupikia... Hii inawalenga wafanyabiashara wa kuni wa rejareja au ht mashule
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengne hamjaelewa vizur... Inapiga marufuku kwa wale wasokuwa na lesen ya uvunaji miti..... Ingkuwa kila mtu anapigwa marufuku.. Hv sasa tuko kweny mchakato wa kurenew iz lesen zetu ambazo hutolewa na Maliasili na mda wowote ztatoka... Vp wakataze na huk wao ndo wanatoa...... Katazo n kwa wasokua na lesen na wauzaj wa mtaani inabd wasajili sehemu zao ili zjulikane ila n halal mmechangany madawaLakini mwisho wa siku je hali ikoje majumbani maana watu wanatumia hadharani kuni lakini serikali inapiga vita matumizi kwa kuwadhibiti wauzaji lakini watumiaji wakuu kila siku wanatumia
Hio utanunua stoo kwetu tu au ilokarbu na wew sidhan utahtaj za msitun....... N nyng mnoHata kama nina shughuli ya harusi?
Naelewa vizuri mkuu nilikuwa namjibu huyo aliekuwa jamaa na mie nilimjibu kama alivyokuwa anafikiria yeyePengne hamjaelewa vizur... Inapiga marufuku kwa wale wasokuwa na lesen ya uvunaji miti..... Ingkuwa kila mtu anapigwa marufuku.. Hv sasa tuko kweny mchakato wa kurenew iz lesen zetu ambazo hutolewa na Maliasili na mda wowote ztatoka... Vp wakataze na huk wao ndo wanatoa...... Katazo n kwa wasokua na lesen na wauzaj wa mtaani inabd wasajili sehemu zao ili zjulikane ila n halal mmechangany madawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuNaelewa vizuri mkuu nilikuwa namjibu huyo aliekuwa jamaa na mie nilimjibu kama alivyokuwa anafikiria yeye