Wahindi wananyonyesha mpaka ng'ombe!!

Wahindi wananyonyesha mpaka ng'ombe!!

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
Hebu tazama hii clip huyu mama ana huruma sana pengine kuliko hata mama Teresa, huko India ng'ombe anathaminiwa sana. lakini huku Bongo mbona wahindi wanapika na kula sana nyama ya ng'ombe ukilinganisha na huko India?

 
Last edited by a moderator:
Jamani kwa wenzetu (baadhi ya Wahindi) hao ngombe na tumbili ni Miungu kwa hiyo kuwanyonyesha ni kama kufanya ibada.
 
Mmmh jamani ni hatari lakini salama..
 
Hizo iman za kijinga. Mwachen ng'ombe awe ng'ombe.
 
Back
Top Bottom