Wahindi wana action mbovu ila stori tamu

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Kwa mfano muvi ya radhe ya mwaka 2021 ya salman umeona action za mule ndo vile vile mtu kapigwa ngumi moja kadunda kama kitenesi kuna muda hata babaako akikukuta unaangalia dizaini hii anakuona bwege sana

Mimi ni mpenzi wa action ila sio hizi za wahindi za kupigana namna hiyo kuna baadhi ya filamu za kihindi zinaaction nzuri mpaka huwezi amini kama ndo wao wazee wa kamba

Kama filamu ya force alaiyoicheza vidyut na John abraham

Movie anazocheza vidyut na huyu mwamba tiger scroph walau zinaaction zenye kueleweka

By The way wahindi Movie zenye ujumbe mzuri na stori tamu

Mimi binafsi nawapa 6/10 rate Muende mkaangalie radhe kabla amjaleta povu
 
Richmoto Kushmoto Kuna kitu bado unashindwa kufahamu, Kuna mambo kwenye masuala ya filamu Bollywood huwa yanataka uzoefu kuyaelewa.
Tizama filamu kama Don, Don 2, War kupata aina ya action unazozitaka. Hizo nyengine kama aina ya Radhe, Dabangg ni kwa ajili ya Single Screen audiences, kwa maana nyepesi ni kwa ajili ya wale mashabiki wa uswahilini, hua zinapiga pesa sana zile na ndio mana bado zina chati. Hizo unazozitaka wewe kule wanaita ni kwa ajli ya multiplex audiences kwa maana mashabiki waliostaarabika na International audiences.

Wezetu wanapotengeneza filamu lazima wawe na target audience wa kazi zao sio kujifanyia tu kibongobongo
 
Umesomeka mkuu
 
Kwa hiyo ni kama bidhaa za Kichina. Nyingine wanatengeneza kwa ajili ya soko la Ulaya (zenye ubora wa juu) na nyingine kwa ajili ya soko la Afrika (zenye viwango duni na bei rahisi)
 
Kabisa mkuu, India kuna matabaka makubwa baina civilized na uncivilized people, kwhaiyo wote wanahaitaji huduma mkuu, kama hapa kwetu tuchukulie mfano dar tu hebu watathmini watu wa Buza na wa mbezi utapata picha akili zao zinahitaji vitu viwili tafauti.
 
😅😅😅Daah! Eti watu wa Mbezi na Buza akili zao zinahitaji vitu viwili tofauti
 
Kwa mfano muvi ya radhe ya mwaka 2021 ya salman umeona action za mule ndo vile vile mtu kapigwa ngumi moja kadunda kama kitenesi kuna muda hata babaako akikukuta unaangalia dizaini hii anakuona bwege sana

Mimi ni mpenzi wa action ila sio hizi za wahindi za kupigana namna hiyo kuna baadhi ya filamu za kihindi zinaaction nzuri mpaka huwezi amini kama ndo wao wazee wa kamba

Kama filamu ya force alaiyoicheza vidyut na John abraham

Movie anazocheza vidyut na huyu mwamba tiger scroph walau zinaaction zenye kueleweka

By The way wahindi Movie zenye ujumbe mzuri na stori tamu

Mimi binafsi nawapa 6/10 rate Muende mkaangalie radhe kabla amjaleta povu
Upo sawa kabisa
 
Kabisa mkuu, India kuna matabaka makubwa baina civilized na uncivilized people, kwhaiyo wote wanahaitaji huduma mkuu, kama hapa kwetu tuchukulie mfano dar tu hebu watathmini watu wa Buza na wa mbezi utapata picha akili zao zinahitaji vitu viwili tafauti.
Kabhi Alvida Nah Kehna ni,My name is Khan mfano wa movie za kuuza International!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom