Wahi za mchemsho wa kesho steki tupu

Mchemsho wa kichwa ndo baab kubwaa!... sumu inanogesha kwa ka ugwadu flani hivi...
 
mshana jr puliiiz.....unajua kabisa leo ijumaa na supu itanihusu.......why why why........
 
Halafu Mshana jr unatakiwa kuandaa mrithi wako katika hizi vitu usijisahau.
 
Niwekee wawili na ukatekate kabisa ila usifanye vipande vdogo vdogo
 
Nahitaji wa2 waweke viungo kabisa (tangawizi, kitunguu saumu, pilipili nk)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…