Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 218
Umeleta mada ya muhimu sana ila umeiwasilisha vibaya sana mkuu binafsi nko hatua za mwisho kufungua kampuni details zako zingenisaidia sana au ndo tukufate DM na charges?Ndugu Mjasiriamali,
Unapomaliza Kusajili Kampuni hakikisha unawahi sana kwenda TRA.
Unapochelewa TRA wanaanza kukuhesabia fines.
Lakini ukiwahi unaweza Anza ku file zero Taxes.
Ukisajili kampuni na ukapewa TIN certificate unatakiwa kufaili returns uwe umeanza biashara au bado.Umeleta mada ya muhimu sana ila umeiwasilisha vibaya sana mkuu binafsi nko hatua za mwisho kufungua kampuni details zako zingenisaidia sana au ndo tukufate DM na charges?
Umenipa kitu cha ziada ubarikiweUkisajili kampuni na ukapewa TIN certificate unatakiwa kufaili returns uwe umeanza biashara au bado.
Kwa kampuni unakuwa liable na kodi hizi:-
-Provisional Tax (Makadirio)
-SDL
-PAYE
-ROI (Return Of Income) na
-VAT kama uko registered.
Hamna cha zaidi mkuu.
Hivi ile withhold tax ni lazima ulipe ukishafungua kampuni wakati unafanya mchakato ww tin certificate au unaweza iacha ukaja fanya baadaye?Ukisajili kampuni na ukapewa TIN certificate unatakiwa kufaili returns uwe umeanza biashara au bado.
Kwa kampuni unakuwa liable na kodi hizi:-
-Provisional Tax (Makadirio)
-SDL
-PAYE
-ROI (Return Of Income) na
-VAT kama uko registered.
Hamna cha zaidi mkuu.
Ndiyo unalipa Withholding tax on rental contract kama eneo unalofanyia biashara umepanga, na stamp duty.Hivi ile withhold tax ni lazima ulipe ukishafungua kampuni wakati unafanya mchakato ww tin certificate au unaweza iacha ukaja fanya baadaye?
Hii inalipwa chini ya tin no ya wewe mfanya biashara au chini ya tin no ya mmiliki?Ndiyo unalipa Withholding tax on rental contract kama eneo unalofanyia biashara umepanga, na stamp duty.
WHT-10% Of rental contract
STAMP DUTY-1% Of rental contract
Mtoa madam yuko sahihi sana,sema hajaweka nyama za kutosha.Umedaka story ukiwa kwenye daladala nini?.
Mbona umeandika kama simu inatakiwa kurudi kwa mwenyewe?
Wewe mfanya biashara unai-hold 10% kwenye malipo ya rent unayolipa (hapa mwenye jengo ndiye anayelipa) in case hana TIN# wewe ndo unakuwa liable sababu Withholding tax na stamp duty lazima zilipwe.Hii inalipwa chini ya tin no ya wewe mfanya biashara au chini ya tin no ya mmiliki?
Haya wewe umeelewa je?Mtoa madam yuko sahihi sana,sema hajaweka nyama za kutosha.
faini huwa kiasi gani ukicheleweshaUkisajili kampuni na ukapewa TIN certificate unatakiwa kufaili returns uwe umeanza biashara au bado.
Kwa kampuni unakuwa liable na kodi hizi:-
-Provisional Tax (Makadirio)
-SDL
-PAYE
-ROI (Return Of Income) na
-VAT kama uko registered.
Hamna cha zaidi mkuu.
100,000 kwa watu binafsi na 300,000 kwa makampuni. Kumbuka hiyo ni kwa kila mwezi. So kama ni miezi unazidisha kwa hizo rate.faini huwa kiasi gani ukichelewesha
kama ilikua dormant for one year100,000 kwa watu binafsi na 300,000 kwa makampuni. Kumbuka hiyo ni kwa kila mwezi. So kama ni miezi unazidisha kwa hizo rate.
5 to 15 currency point for individuals and entities respectively.