Wahi nafasi za kazi TANAPA

Wahi nafasi za kazi TANAPA

Asante kwa taarifa lakini utaratibu waliotumia kama wmetangaza kwenye website yao pekee ni makosa wanatakiwa watanagaze pia kwenye magazeti yanayosomwa kwa wingi. Labda zimeshajaa
 
ni kweli mkuu ndio maana tunazidi kujulishana maana hili tangazo humu jukwaani lipo lakini inawezekana kuna wadau hawajaliona ndio maana imebidi nirudie angalau tuzidi kukumbushana kwq vile bado wanaendelea kupokea maombi ya kazi.
 
Kweli mkuu shukran!
Hv TNPSS C ndio kiasi gani?
 
Asante kwa taarifa lakini utaratibu waliotumia kama wmetangaza kwenye website yao pekee ni makosa wanatakiwa watanagaze pia kwenye magazeti yanayosomwa kwa wingi. Labda zimeshajaa

TANAPA ndio zao hizo, sijui wanaficha nini.
 
Jengeni utamaduni wa kusoma. kwenye application form kuna link mbili. FQA na HELP. hizi link zinatoa majibu ya ulichouliza. Link hizi

Mkuu naomba kuuliza. Vipi kuhusu swala la atachments, mfano mimi nina vyeti zaidi ya 8 na vyote naona ni muhimu sana katika kusuport application zangu. Wao wamesema only 3 attachments na kwel ukisha upload vyeti vitatu tu inakua faint huwe ongeza tena na maxmum ni 600Kb. Hapo unanishaurije juu ya vyeti vingine please!
 
Mkuu chagua vyeti muhimu 3 uweke, hao jamaa wakishasema usidhani utatumia mbinua yoyote kuweka vyote na ukiweza ukatuma vyote jua cv yako itatupwa.
 
Habari waungwana, naomba msaada wenu kwa hilii.
najaribu kujaza hizi form za ajira mpya za TANAPA,kuna baadhi ya options zinagoma. mfano kwenye attachment. hebu nisaidieni tunafanyaje kwenye attachment?????????????????????
 
Mkuu wadau wenzako ambao wametuma application wanasema mwisho ni attachment tatu tu!!
Ukizidisha hapo system inagoma.
Angalia critical attachments utume, si vinginevyo.
 
Nafasi zipi hebu nisaidie nami nitume mkuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Dah asanteni narusha jiwe gizani litae mpata ndo huyo huyo
 
hawa jamaa chuo changu UDOM hawajakiweka kwenye list... sijui nianzie wapi kuapply!!! msaada tafadhali

Ukifungua pale angalia FAQ and HELP utapata majibu ya kila unachotaka kukujua mkuu.
 
mazee mimi napata shida sanaaa ktk kujaza fomu za online system yao TANAP yaani nimeshamaliza nikitaka ku submit ina zingua balaa
 
Back
Top Bottom