Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
TANAPA01 hata sijui ndio sh.ngapi...
Msaada zaidi iwe faida na kwa wengine
Msaada zaidi iwe faida na kwa wengine
Mwenye Ndugu ambaye ana vigezo.
TANAPA wametangaza nafasi mbalimbali za kazi e.g. Park Wardens, Park Ecologists, Planning Officer, IT/System Analysts, Clinical Officers, Nurse/Nurse Midwifes, Drivers, Park Rangers, etc.
mishahara yao TANAPA midogo sana
Tanapa 01 ni zaidi ya laki 8 hivyo usijali tuma maombi kama una vigezo pia pamoja na hiyo kuna night nyingi mnoTANAPA01 hata sijui ndio sh.ngapi...
Msaada zaidi iwe faida na kwa wengine
Bila shaka ili uweze kuapply ni lazima ujaze information kwenye application information system yao.Na hapo kuna mambo mawili,kama tayari umeshawahi kuomba kazi kwa kujaza utakuwa na reference namba ambayo ndo utaingiza then unaomba kazi,kama ni mara ya kwanza unaapply maelezo ni kama hapo chini,lakini me sijaelewa manake nimesign up nikaanza kujaza info on the way ikaniambia page ime-expire ni-log in tena,wadau ninyi mmeelewa vipi hayo maelezo chini hapo?
Not registered with us before ? (If you never applied for any jobs before.)
- Not need to create Account Or Fill the Form.
- Just Apply for the job and you will get Reference No.
- Whenever you come to apply for the job in future, use your Reference No. to apply for other Job.
Tanapa 01 ni zaidi ya laki 8 hivyo usijali tuma maombi kama una vigezo pia pamoja na hiyo kuna night nyingi mno