Wahi internet ya bure na airtel (offer)

kitenuly

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
336
51
Huu ni uhuni kwa kampuni ya airtell, hiyo advert hapo chini ni ulongo mkubwa, si kweli utapata internate bure kwa miezi 6 kuna hidden terms, JE WATANZANIA WANGAPI MMEISHAIBIWA KWA NJIA HIYO? mimi ni mmoja wapo, je haya ndo matunda ya uwekezaji?

kwani inakuaje mkuu?? maana mimi voda na tigowamenikera sana nilitaka nikapatehii offer kesho
 
mama D hiyo offer ya miezi 6 wala haipo , ingawaje bado ukilinganisha airtel na mitandao mingine airtel ina nafuu! Wana kifurushi cha mwezi kwa sh 2500 unapata mb 400.
 
Last edited by a moderator:
hata mimi nimeibiwa walisema ukitumia zaidi ya elfu sita kwa mwezi wanakurudishia elfu tatu kwa muda wa miezi sita lakini ni waongo moderm zao ziko slow sidhani kama kweli ni 3.7g speed hii yote ni udhaifu wa TCRA na mamlaka zinazotakiwa kuwalinda walaji
 
Bure ni ghali sn mpendwa!

Afu watu wanapenda sana bure , kuna kipindi modem za airtel ziliisha kabisa watu walizishambulia.....kuna waliokuwa na zile za zamani walivyosikia kuna miezi 6 bure wakarudia kwenda kununua.....yaani ukifika airtel unakutana na foleni kubwa!
 
mama D hiyo offer ya miezi 6 wala haipo , ingawaje bado ukilinganisha airtel na mitandao mingine airtel ina nafuu! Wana kifurushi cha mwezi kwa sh 2500 unapata mb 400.

asante sana sweetlady,hili soko huria bilavigezo na masharti tunaumia zaidiwalaji
 
kwani inakuaje mkuu?? Maana mimi voda na tigowamenikera sana nilitaka nikapatehii offer kesho

ushauri wa bure dont bother kununua, inatakiwa uwe unalipia, (unanunua bundle hiyo lugha wametumia tu kwa ajili ya kuuza)
 
kwani inakuaje mkuu?? maana mimi voda na tigowamenikera sana nilitaka nikapatehii offer kesho

hata mimi nimeibiwa walisema ukitumia zaidi ya elfu sita kwa mwezi wanakurudishia elfu tatu kwa muda wa miezi sita lakini ni waongo moderm zao ziko slow sidhani kama kweli ni 3.7g speed hii yote ni udhaifu wa TCRA na mamlaka zinazotakiwa kuwalinda walaji
 
Afu watu wanapenda sana bure , kuna kipindi modem za airtel ziliisha kabisa watu walizishambulia.....kuna waliokuwa na zile za zamani walivyosikia kuna miezi 6 bure wakarudia kwenda kununua.....yaani ukifika airtel unakutana na foleni kubwa!

siyo suala la bure, kuadvert ni sehemu mojawapo ya kuvutia biashara, lakini kwa tz sivyo.
 
Afu watu wanapenda sana bure , kuna kipindi modem za airtel ziliisha kabisa watu walizishambulia.....kuna waliokuwa na zile za zamani walivyosikia kuna miezi 6 bure wakarudia kwenda kununua.....yaani ukifika airtel unakutana na foleni kubwa!

inaonesha jinsi gani watanzania hatuna ushirikiano katika kujenga haki, labda pengine ni udogo wa elimu yetu na ukubwa wa ubinafsi wetu... Kama mtu unaepata kipato chako kwa jasho alafu unapewa ahadi na masharti ya kukitumia kwa unafuu na kujiwekea akiba kwa nn isiwe kama ilivyo kubaliana, hakuna mtu aliyetaka hiyo ofa, ni yakwao kwa malengo ya biashara yao sasa kwanini waumize nayo wengine! TCRA HOI AND HOPELESS
 
Back
Top Bottom