Wahenga wana mioyo ya kusukuma damu tu

Wahenga wana mioyo ya kusukuma damu tu

mahusiano yangu ya kwanza nilikaa almost miaka 5. huyu ni college mate.aliniacha yeye .
ya pili miaka 3 .huyu jamaa nilimuacha mimi kutokana na sababu za kifamilia
kutoka hapo sijawai kudate tena mtu serias yaani hata week haipiti.wengine ni hawa wa jf tunakutana humu na kuachana humu humu kabla hata ya kuachana.
nataka kussetle ila naona makosa ni yale yale .mambo ya kuitwa lodge kusex wekend yaani sipendi naona kama muda wangu wa mambo hayo ushapita. ilo tu jamani ndo siri ya mimi kutokuwa na mwanaume .sio kwamba sina hamu ila uhuni tena big no.wekeni offer zenu vizuri la sivo mtanilaumu sana ,sijui naringa wakati cha kuringia hata sina.mahusiano yanabase kwenye sex mwanzo mwisho .?? hapana jamani .
Nyani Ngabu umemuacha?
 
Miss natafuta pole kwa changamoto ,wanaume hamna kitu tunachohitaji toka kwa mwanamke zaidi ya sex pleasure tena ya Mara kwa Mara ila ingekua ni ishu ya marafiki tu Wa kawaida hawa Wa kiume wanatosha sana .

Kama hauko tayari kushiriki tendo hilo na mwanaume then hamna haja ya kudate endelea kukitumia kwa shughuli za kitoto tu yaani kutolea uchafu.
 
sawa mkuu .
 
Ukiwa mpenzi kut.iwa ni lazima, sio ombi! Sasa kama hilo kwako ni kero wengine gurantee yao ya kuendelea kukupenda na kukuhudumia ni hilo swala tu. Ukibisha umepishana na gari ya mshahara!!!
 
mahusiano yangu ya kwanza nilikaa almost miaka 5. huyu ni college mate.aliniacha yeye .
ya pili miaka 3 .huyu jamaa nilimuacha mimi kutokana na sababu za kifamilia
kutoka hapo sijawai kudate tena mtu serias yaani hata week haipiti.wengine ni hawa wa jf tunakutana humu na kuachana humu humu kabla hata ya kuachana.
nataka kussetle ila naona makosa ni yale yale .mambo ya kuitwa lodge kusex wekend yaani sipendi naona kama muda wangu wa mambo hayo ushapita. ilo tu jamani ndo siri ya mimi kutokuwa na mwanaume .sio kwamba sina hamu ila uhuni tena big no.wekeni offer zenu vizuri la sivo mtanilaumu sana ,sijui naringa wakati cha kuringia hata sina.mahusiano yanabase kwenye sex mwanzo mwisho .?? hapana jamani .
Mapenzi na kutamaniana ni vitu viwili tofauti kwenye kapu moja, baadhi (wengi) ya wanaume anafikiria sex kwenye mahusiano(wanatamani muonekano na figure) wakati wanawake hufikiria furaha na urafiki kwenye mahusiano tena hasa akishapita umri wa mhemuko wa mahaba niteketeze
 
Pole aisee..

ME masihara sana kisa tunajiona hatuna biological clock.
 
Miss Natafuta mie nadhan hujakutana na umependaye kwa dhati !hizo za kuitwa logde hutaona km mzigo ! amini tena ! lazima mfahamiane kwanza mambo meng meng mjuane madhaifu yenu na kuyakabili !hilo my dear halikwepeki hata kidg !itakuwa ngumu upate mpenzi msiyajadili hayo !

nb;sio lazima wote tuolewe !sikiliza nafsi yako
 
kuolewa nayo sio lazima kwa kila mtu mkuu.dunia ina mambo mengi ya kufanya sio lazima kuolewa tu. atleast nibaki na utu wangu jamani.
Kuolewa ni lazima wewe miss! I mean its a must_do_thing!!
Utazeeka peke yako bila babu, ohoo!!!
 
Back
Top Bottom