Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

Umedhuilumiwa wapi onyesha ni kura za kituo kipi cha kura ulichodhulumiwa.Usisikilize porojo za wanasiasa.Waambie wakuonyeshe ni kura za kituo kipi walidhulumiwa.Maana zote zilikuwa zikibandikwa vituoni na baadae kupelekwa tume.Wakuonyeshe kwenye kituo zilikuwa ngapi na zilizofika tume zilikuwa ngapi

Mimi namshukuru Mungu mno aliyenipa nafasi ya kutompa kura Lowasa mwanasiasa lagai aliyelagai hadi viongozi wa kanisa wakalaghaika wakajiingiza kichwa kichwa kutaka kulipa taifa kiongozi laghai .Ee MUNGU nakushukuru SANA tena SANA sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru kwa hilo.Na asante kuniwezesha kumpigia kura Maghufuli

Mwanzoni ulionekana umejaa busara kumbe frushi la matikitimaji.
 
Kikubwa amani jamani lowasa mwanasiasa mwenye hekima akurupuki
 
Alivyokatwa ccm akawa kimya baadae kaibukia cdm sasa hvi yupo kimya atataka kubadili uraia ili akagombee uganda maana akisikia uraisi anahaha
 
jaman tuongeeni hii kama namna ya kujiliwaza tu kwasababu mimi kwa mfano nina jamaa zangu wengi waliosambazwa na lh.rc mikoa mbali mbali kama waangalizi wa uchaguzi ambao wengi wao walikua pro ukawa ila wanakwambia kwa namna mchakato wa kuhesabu kura kwenye vituo ulivokua,, upelekwaji wa nakala za matokeo kwa msimamizi wa uchaguzi na namna yeye alivokua anatuma matokeo kwa tume makao makuu ni vigumu sana kusema kuna kura ziliibwa kwa idadi ambayo ni game changer jamani... hiki kimya cha mzee hakina lolote sana sana anawaza atawambia nini aliowaahidi ushindi saa kumi na mbili alfajiri na mitaa ipo kimya kwasababu nyie mlizidisha kuongea jamani kwasasa ni aibu tu zimewajaa.. hamkujua kimag.ufuli tokea mwanzo kilikua kinamfukuza mwizi kimya kimya!! kuna watu hum nilikua nawambia tutakuja kuchekana watu wazima na haitokua picha nzuri.. kifupi mlizidisha kuongea jaman na hili liwe fundisho next time mjitahid kuhifadhi maneno ndo hekima inapoanzia hapo!!
 
Tatizo sio Lowassa kuwa kimya, bali Watanzania waliodhurumiwa ushindi wao. Wao ndio wapo kimya na hii inamaana gani?

Kimya kipi tena Chief, mbona imeelezwa humu alikuwa huko Kawe anawashukuru Wana UKAWA kwa kumpa support kipindi chote cha campaign, na kwamba wasubiri awamu ya pili, au?
 
Ndugu watz. tangu uchaguz umeisha edward lowassa amekuwa kimya, lakn kimya hiki kina kheri kwa taifa au shari inaandaliwa?

Umetumwa? Kawaambie watanzania sio wajinga kama wanavyofikiri. Tunaendelea.....
 
Tatizo sio Lowassa kuwa kimya, bali Watanzania waliodhurumiwa ushindi wao. Wao ndio wapo kimya na hii inamaana gani?[

Wakanda ndo wameumia na siasa zao za kidini na kikanda, mkameze betri
 
Ktk siku zake za kuishi zilizo baki ni bora muda huo akautumia kuyapigania maisha ya watanzania
Wakati kama huu tunamuhitaji atoke nyerere mwingine.
 
jaman tuongeeni hii kama namna ya kujiliwaza tu kwasababu mimi kwa mfano nina jamaa zangu wengi waliosambazwa na lh.rc mikoa mbali mbali kama waangalizi wa uchaguzi ambao wengi wao walikua pro ukawa ila wanakwambia kwa namna mchakato wa kuhesabu kura kwenye vituo ulivokua,, upelekwaji wa nakala za matokeo kwa msimamizi wa uchaguzi na namna yeye alivokua anatuma matokeo kwa tume makao makuu ni vigumu sana kusema kuna kura ziliibwa kwa idadi ambayo ni game changer jamani... hiki kimya cha mzee hakina lolote sana sana anawaza atawambia nini aliowaahidi ushindi saa kumi na mbili alfajiri na mitaa ipo kimya kwasababu nyie mlizidisha kuongea jamani kwasasa ni aibu tu zimewajaa.. hamkujua kimag.ufuli tokea mwanzo kilikua kinamfukuza mwizi kimya kimya!! kuna watu hum nilikua nawambia tutakuja kuchekana watu wazima na haitokua picha nzuri.. kifupi mlizidisha kuongea jaman na hili liwe fundisho next time mjitahid kuhifadhi maneno ndo hekima inapoanzia hapo!!

Wewe mwongo, huna jamaa yako ukawa pro wala nini, Si uwe mkweli tu?
 
Mara nyingi dunia hii husikiliza sana upande wa Upinzani Japo chama Tawala kina nguvu na Bado kina Nafasi ya kushinda uchaguzi kialali. Uchaguzi huu wa 2015 niwazi sana na upinzani ulipewa Nafasi kubwa Ya kuonyesha watu kwamba Tanzania ni nchi huru ccm inaweza tolewa Madarakani na chama chochote kitacho simamia hoja muimu na kuwa na nia dhabiti ya kuijenga nchi, Lakini kilicho waangusha Upinzani ni hoja zao zisizo wazi na mgombea wao aliye na tuhuma lukuki za ufisadi, Pamoja na kampeni ndogo zilizo shindwa kuwafikia wapiga kura walio wengi vijijini, kwakutaka kuitowa ccm Madarakani nilazima chama pinzani kisimamishe siasa ya kitaifa nikiwa na maana kwamba Lazima chama kishirikishe watu wa Mikowa Yote kwa ngazi zote Madaraka ndani ya chama na kusimamishwo office za chama kila kijiji ili kuwafikia wana vijiji walio wengi kwani huko ndiko ccm wanajizolea kura nyingi, msimamo wa ccm leo ni mkubwa sana kiasa kwamba inaonekana kwamba ndio chama pekee ambacho kina jumuisha wanzania wote bila kupendelea kabila au watu wa kanda fulani, huo ndio mfumo wa kujenga ushindi kwa chaguzi yeyote ile, ni mengi tu ila niishie hapo

Acha ukabila wewe, hata Tanu haikuanzia huko kwenu kusini.
 
Wewe mwongo, huna jamaa yako ukawa pro wala nini, Si uwe mkweli tu?

tatzo lenu ndio hilo kujiona kila kitu mnaonewa na ni uongo. Twaweza walitoa tafiti zao mliwadhihaki na kuwatukana kuwa waongo.

Wakaja synovates wakatoa nao mkaishia kuwachamba
sasa hawa wa mwisho walipowaona kuwa hamuutaki ukweli wakaja na utafiti wa kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hapo ndio mkafurahii mkakenua mimeno.

Sasa hivi ukweli unakuja bado mnalalama eti mmeibiwa kura. Hivi ni lin mtakubaliana na ukweli nyinyi wanaharamu?.

Tatzo mlikuwa mnashauriana ujinga na mnaukubali na mnapongezana juu ya huo ujinga. Hayo sasa
 
Liinchi la kjinga hili basi tu,ipo siku tu.mlikuwa mnaombea ya libya kumbe mlikuwa mna lenu kichwani kwa wizi wenu huu.kama vp iwe vp kwn kuwa kama libya ni vibaya
 
Mnakura gani za kuibiwa nyinyi?

Unapojibishana na mtu unaehis hana uhakika na akisemacho!! Wewe ndo mbaya na mwizi. Km mnahis mmeshinda kiuhalali! Kwanini mnaweweseka!? Endeleeni na ushindi wenu wa uhalali!!!
 
sioni chochote kipya atakachokifanya kikanishtua zama zake zimekwisha mbaya zaidi kajimaliza mwenyewe
 
huyu mzee alishinda Moshi na Arusha tu.

Sasa sijui angekuwaje rais?
Angalia jumla ya kura halali halafu linganisha na jumla ya kura za wagombea wote wa urais na zilizokataliwa kama zinalingana. kuna mwajamvi alitupia humu hizo kura kutoka tume.
 
Back
Top Bottom