Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

Wahenga walisema, kimya kingi kishindo chake kikuu

Umedhuilumiwa wapi onyesha ni kura za kituo kipi cha kura ulichodhulumiwa.Usisikilize porojo za wanasiasa.Waambie wakuonyeshe ni kura za kituo kipi walidhulumiwa.Maana zote zilikuwa zikibandikwa vituoni na baadae kupelekwa tume.Wakuonyeshe kwenye kituo zilikuwa ngapi na zilizofika tume zilikuwa ngapi

Mimi namshukuru Mungu mno aliyenipa nafasi ya kutompa kura Lowasa mwanasiasa lagai aliyelagai hadi viongozi wa kanisa wakalaghaika wakajiingiza kichwa kichwa kutaka kulipa taifa kiongozi laghai .Ee MUNGU nakushukuru SANA tena SANA sina cha kukulipa zaidi ya kukushukuru kwa hilo.Na asante kuniwezesha kumpigia kura Maghufuli

Wewe kakojoe ulale!;Mtoto we! ?%*??...&%?#+&-;"???.
 
Ndugu watz. tangu uchaguz umeisha edward lowassa amekuwa kimya, lakn kimya hiki kina kheri kwa taifa au shari inaandaliwa?
Ulitaka awaambie Watanzania wapigane ndo uone ameongea?
Unajisikiaje usipomsikia?
 
Back
Top Bottom